Recent content by moghaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

    Ni kweli hakuna muda wa kupoteza hasa miaka hii ya technology na uhaba wa ajira.. Lakini inategemea na mambo kadhaa, Kazi/Ajira yako, umri , mazingira unayoishi n.k mfano: mwekezaji wa Real Estate sio muda wote atakuwa busy
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

    Ni changamoto kubwa sana, inategemea na mahala ulipo, mazingira lakini kwa ujumla mazingira yanatulazimisha kuingia pasipo faa wewe uko wapi ?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu upotoshaji kuwa "Wasomi hawaajiriki", hebu tuwatambue matajiri wasomi

    WASOMI HAWATAJIRIKI Ndio kichwa cha habari, (kuna mtu alibadili HEADING)
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu upotoshaji kuwa "Wasomi hawaajiriki", hebu tuwatambue matajiri wasomi

    UPOTOSHAJI "WASOMI HAWATAJIRIKI" EBU TUWATAMBUE MATAJIRI WASOMI DEGREE LEVEL Kwangu mm nauona huu ni upotoshaji mkubwa na wenye madhara kwenye jamii yetu.. Nachojua ni kweli wasio wasomi kwa ujumla ni more risk taker kulinganisha na wasomi lakini hii pekee sio factor ya ku generalise...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Turudi tulipokuwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii Elimu ya Mbunge Erick Shigongo sijaielewa, naombeni kueleweshwa

    Mkuu kwani huo utaratibu wa RPL haupo kwa sasa ?
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

    ok sawa Yeye yuko kenya na mm niko TZ
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

    SHUKRAN kwa ushauri, basi niite zawadi kwake binafsi ikoje hii ?
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

    Shukran kwa ushauri
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

    Mbuya TATA, No monto omoholu bhokong'u
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

    Shukran Pia kwa mawazo yako
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

    Sorry kama ni makosa, niliona HAPA ni rahisi zaidi kwangu, na kwa nia njema.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

    NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa QuickBooks

    UKO WAPI ?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imewahi kuwa na Rais mwizi?

    RAIS NI NYERERE TU AKIFUATIWA KWA MBALI NA MKAPA MWISHO WA HABARI
Back
Top Bottom