Recent content by Mofassa

  1. M

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Kwan Songea Mbano alikua ni Chief au Nduna maana Chief najua alikua Mputa Gama
  2. M

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Kutoka kwenye vyanzo mbali mbali nilivyosoma, nilikuja kugundua Okelo pamoja mambo mazuri yote aliyokuwa nayo lakini still alikuja kuwa mroho wa madaraka maana baada ya kuondoka Zanzibar alienda Congo Kinshasa na baadae Uganda ambako Idd Amin aliamin anaweza kufanya nae kazi na kumteua baadae...
  3. M

    2006 Ulikuwa wapi

    Darasa la 6
  4. M

    SoC03 Tuwakumbuke vijana wa kiume kwenye mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Utangulizi. Kwa miaka mingi sana vijana wakiume walikua wakipewa kipaumbele katika nyanja tofauti tofauti lakini mambo yalianza kubadilika pale matukio ya unyanyasaji wa ulipoongezeka hasa kwa watoto wa kike. Hapa ndipo Serikali na asasi nyingine zisizo za kiserikali kuanzisha kampeni tofauti...
  5. M

    Bunge bila Kambi Rasmi ya Upinzani ni ukiukwaji wa Katiba

    Katiba bado bado tuipe muda
  6. M

    Je, Bunge bila kambi rasmi ya upinzani ni bunge halali kikatiba au kwa kuwa CCM imeshika mpini?

    Wabunge hawa wa upinzani hawapo kwa kua CCM waliwachukua au kwasababu CCM ndo wapiga kura za uchaguzi wa wabunge.
  7. M

    SoC03 Utalii mamboleo kwa maendeleo ya taifa

    Utalii; Ni kitendo cha mtu au kundi la watu kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudan, biashara, kujifunza au makusudi mengine (Wikipedia, 2023). Utalii kwa Tanzania hivi sasa imekua ni sekta inayochangia takribani 25% ya pato la taifa na hii ni kwa mujibu wa hotuba...
Back
Top Bottom