Fullmetal Alchemist
Fullmetal Alchemist Brotherhood
Demon Slayer
Goblin Slayer
Solo leveling
Naruto
Naruto Shippuden
Psycho Pass
Ghost in the Shell (Movies and Series)
Drifters
Another
Attack on Titan
Jujutsu Kaisen
Mob Psycho 100
One Punch Man
Arcane
Castlevania
Castlevania Nocturne
Bungo stray...
Hii kenge lini itajifunza?
Miaka ya zamani kukutana na vipusa kama hivi ilikuwa ni nadra sana.
Ila teknolojia inawakutanisha na wamekuwa wengi hadi wanapata confidence ya kuongea kama watu wenye busara na akili timamu.
Huna lolote.
Njaa zinakusumbua tu.
Unatapatapa tu huku na kule.
Hicho kichwa kimejaa funza tupu.
Kuwa na msimamo wa ushirikina kama wachawi wenzako, acha kuigiza vuguvugu.
Mkuu, hebu anza kujitafuta kiroho maana umri tayari ni jioni sana na huu upupu unaandika hapa ni ishara za mfa maji. Mwendazake kukuita njaa ilikuwa ni ishara ya kukuachia gundu na laana. Huwezi kupata kile unakitafuta katika siasa kamwe.
Jitafakari tena, unataka kuacha legacy ya aina gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.