Recent content by mobakha

  1. mobakha

    Msaada wa QuickBooks

    Wakuu habari zenu, naomba mwenye licence key, product nunber na validation number kwa ajili ya QuickBook Premier 2018, au sehemu yoyote ambayo naweza kupata software yake. natanguliza shukrana
  2. mobakha

    Biashara ya vyombo vilivyotumika

    Habari gani wakuu, za majukumu? Natumai ni wazima wa afya, naishi Zanzibar naomba kuelimishwa vipi nitaweza kufanya biashara ya vyombo vilivyotumika, nataka kuagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi. Natanguliza shukrani.
  3. mobakha

    Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Habari zenu wadau, mimi nataka kuuliza, hivi ugonjwa wa corona asili yake ni nini? Dalili zake na unasambaa kwa njia gani na vipi tunaweza kujiepusha nao. Na ukiupata je ufanye nini? Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mobakha

    Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Habari zenu waungwana, mimi nataka kujua huu ugonjwa asili yake hasa ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mobakha

    Naomba kujua kuhusu Screen Liquid Protector

    Ndio nimeelewa, shukran sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mobakha

    Naomba kujua kuhusu Screen Liquid Protector

    Kwa nini Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mobakha

    Naomba kujua kuhusu Screen Liquid Protector

    Kwa nini kwa sababu kama mtu akitaka nimshauri nijue nimshauri nini Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mobakha

    Naomba kujua kuhusu Screen Liquid Protector

    Bora niachane nayo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mobakha

    Naomba kujua kuhusu Screen Liquid Protector

    Natumai ni wazima, leo nakuja na swali nataka nijibiwe maana huku kwetu nimeona sana huduma hii nataka nitumie ila nasita kiukweli maana sijui ubora wake. Ni nini faida na hasara ya Liquid Screen Protector za simu? Natanguliza shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mobakha

    Tapeli amemuibia simu mke wangu na kulaghai watu

    nahisi anza na fundi ukiona majibu yake hayaridhishi ndio uende polisi
  11. mobakha

    Tapeli amemuibia simu mke wangu na kulaghai watu

    soma vizuri mada yangu kwa sababu hizi si nokia za tochi ukasema mambo nirahisi rahisi tu. kwani uliambiwa anatumia line zile zile nilisema anatumia line yake. nina uwezo mpaka wakuiroot simu. hayajakukuta ndio maana unasema ivo.
  12. mobakha

    Tapeli amemuibia simu mke wangu na kulaghai watu

    contacts hazijahifadhiwa kwenye simcard
Back
Top Bottom