Waziri Makamba Nakuomba kwa heshima na taadhima fuatilia tuhuma za tanesco mkulanga yule meneja wa pale a nakula rushwa yeye pamoja na baadhi ya watendaji, tume peleka malalamiko na amekua hayafanyii kazi tunajua kwamba uteuzi huu wa bodi ya wakurugenzi wa tanesco lengo ni kubolesha utendaji wa...
Mh waziri pale Tanesco mkuranga Meneja anawalea watendaji wanao kura rusha kwa kuchukua pesa za watu wakiwaahidi watawaunganishia umeme tume peleka tuhuma hizo lakini yule meneja wa tanesco mkuranga hazifanyii kazi mh waziri kwa dahamana uliyopewa na mamlaka uliyopewa ondoa yule meneja na...
Pamoja na yote hayo Tanesco mkuranga kuna urasimu sujawahi kuona watu wame omba umeme na wamesha lipia mpaka leo hawajaunganishiwa umeme mh waziri njoo office ya Tanesco mkuranga ujio ee madudu yaliyopo, na sijui hio kodi ya mjengo utakusanyaje
Pale Nssf kuna dada wa data entry huyo Dada ni noma, mosi haingizi michango ya makampuni yaani analinga sana, pili meneja wa Nssf Temeke anambeba na pia ni kikwazo sana huyu Dada kwa kukwamisha madai ya watu, lakini viongozi wa Nssf Temeke bado wanamlinda, mfano nssf wanawaambia watu wana toa...
Star x, boss, Mr uk ni tv zinazo tengenezwa vichochoroni china hata kwenye level za sido ya China hazifikii na hizi huwezi kuzilinganisha hata na Hisense Tcl Vizio, Skyworth etc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.