Recent content by Mnyuke junior

  1. Mnyuke junior

    From one Gianluigi to another

    Gianluigi donnarumma anakuwa golikipa wa kwanza other than Gianluigi buffon kupata cleansheet kwa italy katika mashindano makubwa ya ulaya na dunia tangu fransisco toldo alivyofanya hivyo katika euro 2000
  2. Mnyuke junior

    Kieran Tierney na dili jipya Arsenal

    Washika mitutu wa kaskazini mwa London (Gunners ) wameanza mazungumzo na beki wao wa kushoto KIERAN TIERNEY juu ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukipiga arsenal,ikumbukwe arsenal walimsajili tierney toka celtic mwaka 2019 na ameonesha kiwango kikubwa sana toka aanze kuitumikia miamba hiyo
  3. Mnyuke junior

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Euro fantasy league anyone interested plz join Code;90HUHIRR07
  4. Mnyuke junior

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Euro fantasy league invitations anyone intersted plz join Code;90HUHIRR07
  5. Mnyuke junior

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Eurofantasy league anyone interested please kindly join Code;90HUHIRR07
  6. Mnyuke junior

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wale wazee wa fantasy league safari hii tukutane kwny eurofantasy league anyone interested please kindly join kwa code hyo hapo chini[emoji1313] Code;90HUHIRR07
  7. Mnyuke junior

    Michuano ya Euro 2020 kuanza kutimua leo 06/11/2021

    Mashindano ya uefa euro 2020 yanaanza kutimua vumbi leo ijumaa kwa mtanange mkali wa kundi A baina ya miamba TURKEY Vs ITALY majira ya saa 4 kamili usiku kwa saa za afrika ya mashariki, je wewe unamtabiria nani kuibuka bingwa wa euro 2020?? Weka utabiri wako hapa chini [emoji1313]
  8. Mnyuke junior

    Sancho na Manchester United

    Safari hii manchester hawataki kumkosa tena
  9. Mnyuke junior

    Wijinaldum amesaini mkataba na PSG, miamba ya soka ya jijini Paris, Ufaransa

    Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na kwenda kusaini kwa miamba hiyo ya Paris.
  10. Mnyuke junior

    Sancho na Manchester United

    Wakala wa Jadon Sancho amekubaliana na uongozi wa Manchester United juu ya uhamisho wa mchezaji huyo kwenye dirisha la usajili majira haya ya kiangazi Sancho amekubali kujiunga na mashetani wekundu mpaka juni 2026, kazi iliyobaki ni Manchester united kukubaliana na borussia Drtmund ada ya...
  11. Mnyuke junior

    Kwaheri Granit Xhaka

    Kiungo mzuiaji wa miamba ya soka ya London (Arsenal) Granit Xhaka amekubali kujiunga na miamba ya soka ya italia As roma chini ya kocha JOSE MOURINHO kwa mkataba wa miaka mitano kwa Ada inayokadiriwa kati ya €18-20m hivi karibuni atasaini mkataba huo [emoji837] Source; (chris wheatley)
  12. Mnyuke junior

    Mmiliki wa Spotify atoa ofa nyingine ya kuinunua Arsenal

    CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa inayokadiriwa kufika £1.8bn kwa mmiliki wa washika mitutu hao wa london kroenke lakini ofa hiyo ilikataliwa...
  13. Mnyuke junior

    Smith Rowe kujitia kitanzi gunners

    Kiungo mshambuliaji wa miamba ya soka ya kaskazini mwa London (arsenal ) Emile smith Rowe yupo katika hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia miamba hiyo ya soka ya Uingereza, ikumbukwe pia Emile Smith Rowe alionyesha kiwango cha juu kabisa msimu uloisha na...
  14. Mnyuke junior

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Duh Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  15. Mnyuke junior

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Gunners tuanzishe group la whatsap or telegram mnaonaje? Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom