Recent content by Mnyitono

  1. M

    Maandamano kwa waliokosa mikopo na waliopata mikopo kiduchu HESLB

    Jamani mi npo Mbeya na hii taarifa ndo naisoma sasivi. Mgomo utaendelea kwa kesho na kesho kutwa .? Ili na mimi nije tuungane.?
  2. M

    Maandamano kwa waliokosa mikopo na waliopata mikopo kiduchu HESLB

    Jamani mi npo Mbeya na hii yaarifa ndo naisoma sasivi. Mgomo utaendelea kwa kesho na kesho kutwa .? Ili na mimi nije tuungane.?
  3. M

    HESLB yatoa majina ya waombaji yasiyo na BIRTH CERTIFICATE, hamkuona haya mapungufu tangu mwanzo?

    Jamani mimi sijapata bado, na kwenye hiyo list sipo. Wana mpango gani na mimi jamani
  4. M

    HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    Kwa ambao mmefanikwa kufika katika ofisi zao wanatatua chochote. Au wanasema tuendee kusubiri. Maana daa sijui chuo nitaanzaje.
  5. M

    HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    Jamani samahani. Ivi walisema watatoa mikopo kwa jumla ya wanafunzi wangapi? Na wanampango wa lots nyingine zaidi ya hii ya kweli.
  6. M

    Diploma Holders waliopata mkopo

    Ivi kuna lot ya 4 kweli.
  7. M

    Kwa heri CCM

    Je,wewe hivyo vivocha hajarushia nini ndio maana unataka kuvuja NDOA yako? Usiwe kama mwanamke ambaye yeye endapo atasikia habari mpya ana-take action bila ya kufanyia uchunguzi ili apate uhakika wa suala husika.
  8. M

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    daa sisi tunataka aman iwepo
Back
Top Bottom