Recent content by Mnyiramba

  1. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wadogo Morogoro wanakumbana na Udalali wa maeneo ya biashara; wanalipishwa mara 5 zaidi ya bei halisi

    Cha msingi ni kuangalia je kwa hiyo kodi ya laki tatu kama mfanyabiashara unapata faida?kama unapata faida mambo mengine achana nayo,huwezi ukapata haki kwenye hii dunia ambayo waalifu ndio wanatunga sheria
  2. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Sina Deni anapenda Maswali: Kwa nini biashara ndogo Tanzania zinapata ugumu wa kukuza mitaji?

    Upo sahihi mkuu kwa sisi wafanyabiasha wa kiafrica kabla ya kuanza kufikiria utapata vipi faida ili kukuza biashara yako cha kwanza unawaza kumtoa mshindani wako kwenye reli 😆
  3. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Kuoa kwa hii karne hamna faida yoyote. Ni hasara tupu!

    Nimeoa lakini siku nikipata bahati ya kuchoropoka kwenye hii ndoa sitarudia tena huu ujinga
  4. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Unapenda uwe na mwanamke yupi kati ya hawa?

    Asilimia mia tisa ya wanawake wenye makalio makubwa wana kiharufu hasa ikija kwenye staili yetu pendwa mbuzi kagoma kwenda,hatakuja kujitetea hapa ila haiondoi ukweli
  5. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Maisha lazima uishi, maisha yenyewe mafupi

    Nikipata milioni mia tano narudia tena milioni mia tano 😆
  6. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke nani mwenye akili zaidi

    Ni kweli mtoa mada wanawake wana akili sana ila punda ni bora zaidi ya mwanamke,mwanamke ukiboresha maisha yake unageuka kuwa adui yake,afadhali kuku anaweza kugeuka nyuma kuangalia aliyemrushia chakula ale lkn mwanamke hawezi kufanya hivyo
  7. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Usiogope kuwa na machaguo yako

    Mimi nilibahatisha kamoja tu sema kalikuwa sio katamu sitaki tena
  8. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Usiogope kuwa na machaguo yako

    Kwenye swala la kusex sina kipaumbele chochote ni bakora tu yeyote atayejipendekeza ila linapokuja swala la kuoa standard yangu ni bikra kwanza mengine baadae
  9. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mimi kumrudia Mwanamke huyu (EX) Kwa sasa?

    Ama mimi pekee ndio sijaelewa,mwanamke single mother watoto wawili then alikucheat then unashindwa ku move on 🤨ugonjwa wa akili ni pigo kwa taifa.Single mother akijichanganya kwenye harakati zako ni kumuongezea tu mtoto na kulala mbele
  10. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Usiishi na Mwanamke Mzuri kisasa. Mzalishe chapuchapu angalau watoto wawili, watatu. Huna hasara hata mkiachana

    Inawezekana kabisa ni wazuri kwa mtazamo wako mkuu ila kwa mtazamo wangu hakuna mwanamke mzuri
  11. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Usiishi na Mwanamke Mzuri kisasa. Mzalishe chapuchapu angalau watoto wawili, watatu. Huna hasara hata mkiachana

    Hakunaga mwanamke mzuri mkuu labda ni ugeni wako tu mjini,point pekee uliyoandika ni kujihami ukiishi na mwanamke muda wowote kinawaka so kama hukijapanga kwa vita anguko lake kuinuka tena ni nadra
  12. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Sogea tuishi sasa ndo mpango mzima?

    Uzuri wa sogea tuishi ukitaka kupiga chini hakuna complication nyingi za mashaidi wa hapa na pale ni mtu anabeba begi lake anatembea kama mpo kwenye nyumba ya kupanga na hataki kutoka unatoka wewe
  13. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio single huwa mna survive aje kipindi mnaumwa?

    Unaweza kuwa na mke na akakukimbia cha msingi kuwa kama tembo pamoja na kuwa anabeba mzigo mzito wa pembe hajawahi kuomba msaada kwa yeyote amsaidie kuzibeba
  14. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Kama hii story sio ya kutunga ndio kitachoenda kutokea tena kwa kushirikiana na mchepuko wa mkewe,mwanamke kama humuelewi Kaa nae mbali kama vita ya Iran
  15. Mnyiramba

    JamiiForums Tanzania Sijui nifanyaje: Kuna dada nimempa ujauzito lakini sina mpango naye. Nawaza bwana wake akijua sijui itakuwaje

    Ni ujinga na upumbavu kuamini kwamba mwanamke anayemsaliti mwanaume mwenzio atakuwa mwaminifu kwako
Back
Top Bottom