Recent content by Mnyawende

  1. Mnyawende

    JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Coco beach - Mtoni Mtongani
  2. Mnyawende

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa English Secondary ya Serikali Ila Hajui English,. Tutafike Tuendapo?

    Mfumo wetu wa Elimu lazima ufanyiwe mabadiliko. Walimu wengi wa Kiingereza wanafundisha somo hilo kwa kutumia lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiingereza, kitaalamu wanaita code mixing na code switching.
  3. Mnyawende

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

    Kikawaida ukitoa umbea kwa Mange Kimambi ukiwa na evidence unalipwa. Sasa hili haliniingii akilini kabisa mgonjwa yupo ICU chini ya uangalizi wa madaktari, wabanane wao wenyewe hapo hospitali lazima kuna mmojawapo anahusika.
  4. Mnyawende

    JamiiForums Tanzania Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

    Sijaelewa ngoja nirudie kusoma, tena na tena
  5. Mnyawende

    JamiiForums Tanzania YouTube app inasumbua sijuwi tatizo.Naomba msaada

    update tu, hamna ujanja mwingine.
Back
Top Bottom