Recent content by Mnyasa originally

  1. M

    Kwa mara nyingine tena utumishi waita kazini (23/08/2014).

    Simu za mchina ni shida mkuu tuwekee majina ndugu
  2. M

    Capt. Komba apiga marufuku wageni kutembelea jimbo lake

    Huku kwetu Nyasa (Mbinga magharibi) Cpt.John Komba ni "Wamuyaya" a.k.a Lijogolo,wenye chuki wapasuke! Sanasana kuna kijana Alex Shauri anaandaliwa kuwa mbadala wa John Komba.
  3. M

    Ajira za Jeshi la magereza zinatangazwa lini?

    Habari ndugu zanguni wana JF, Naomba kujuzwa kuhusu Ajira za Jeshi la magereza kwa mwaka huu zitatangazwa lini maana miezi inazidi kusonga
  4. M

    Agronomist is needed

    I have a DIPLOMA IN AGRO MECHANIZATION,can I work in your Company?
  5. M

    Ukombozi wa wasio na ajira

    Nina Diploma ya Kilimo naruhusiwa?
  6. M

    Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

    Majina huwa wanatoa kupitia magazeti ya Uhuru,Habari Leo,DailyNews na Mwananchi. So mara usikiapo wametoa fuata gazeti mojawapo kati ya hayo kwa tarehe husika.
  7. M

    Sajini na Konstebo wa Zimamoto na Uokoaji

    Naona kimya kimetawala kuhusu sajini na konstebo wa zimamoto! Mwenye info atutonye.
  8. M

    Kuitwa kazini tena Kilimo na mifugo

    Wameongeza majina mengine jana mkuu.
  9. M

    Kuitwa kazini tena Kilimo na mifugo

    Ndugu wana Jf, Utumishi wameita watu kazini tena kwa kada za kilimo na mifugo! Naomba wadau mtupie humu.
  10. M

    Kuitwa kazini

    Mbona walitoa,wametoa yapi tena?
  11. M

    Nafasi ya kazi Kilombero Sugar Company

    Kuna kiambatanisho chochote kinacho takiwa?
  12. M

    Nafasi ya kazi Kilombero Sugar Company

    hakuna kiambatanisho chochote?
  13. M

    Mkutano wa UKAWA Jangwani

    haya bana Lizaboni
  14. M

    Mbunge captain John Komba hii ni aibu...

    Yeye alikuwa anatoa sababu ya kuchelewa,hakuwa analalamika hebu kuwa muelewa.
Back
Top Bottom