Recent content by Mnyaru1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    Aende tuuu maana tumechoka sasa, MTU mwenyewe ni over 70 ages halafu Kwa umri huo lazima awe mwoga wa mabadiliko. Wazee wengi wa umri huo huishia kusimulia mambo ya zamani, hana jipya atabaki anaongea mambo yaleyale ya zamani hatakama hayana uhalisia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Serikali za mitaa kulipwa

    Lowasa ni jembe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amhamisha Naibu CAG na kumteua kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali

    Fransis ni jembe mwaveja sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wana UKAWA tu

    Ubora Umekosea heading ulitakiwa kuandika " Kwa bwana ccm na vifaranga vyake tuu"
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe,Mnyika,Lowasa na makamanda wote.

    Good comment
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Amani kwenu watu wa Tanga
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

    Unaona jinsi akili kubwa inavyo ongoza akili ndogo? Sisi wa tanzania tunajua kabisa kuwa m4c ni mali ya chadema hivyo John Pombe Magufuli alitakiwa atengeneze yakwake. Angeweza kuiita J4C au P4C au JPM4C au 4CJPM, labda tungemuelewa ila anaposema yeye ni M4C manayake anatuambia watanzania...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Kwani magufuli anabadirika kutoka wapi kwenda wapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Lowasa-Tumaini letu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Regina Lowassa Leo

    Daa huyu mama anaweza kuwa first lady bora wa pili kutoka kwa mama maria nyerere
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imetoa siku 14 Mwanasheria Mkuu atoe ufafanuzi kuhusu mapingamizi ya CyberLaw

    Hapo sasa ndio tutafaidi matunda ya tasnia ya sheria na tukiuchagua ukawa itakuwa ni heri kwa watanzania
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamati yamwalika Lema kukabidhi kadi za CHADEMA kwa maharusi

    Siasa ni imani ndugu, huwezi kumzuia mtu kushika imani yake kwavile kunawaumini wa madhehebu mengine.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa CCM ni ileile oooh ni ile ileee, usitumike Kwenye Kampeni

    Hata mimi nimesha liona hilo. ccm ni ileile ooooooh ni ileile, sasa mabadiriko anayo hubiri Magufuli ndiyo yapi? Bora hata ya Chadema wamekuja kivingine kabisa kwenye nyimbo za kampeni.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    R.I.P Kamanda
  15. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Naona Magufuli anafoka lakini watu bado hawaelewi anafundisha somo gani na anatumia lugha gani
Back
Top Bottom