Recent content by mnyamweziog

  1. mnyamweziog

    SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Watu waoga kama nyie ndio mnao tuchelewesha kufanya mapinduzi
  2. mnyamweziog

    SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Hakuna cha kuwahi mpaka muda huu wala hawajatoa msaada wowote kwa wafiwa zaidi wamekatazia mwili wa marehemu wenzao wa nashindwa kuzika
  3. mnyamweziog

    TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

    Hizo Imani za kuteseka then bado unavumilia ndoa tunazo ngozi nyeusi tu, ukimuona mwenzio katoka kwenye ndoa ni heri ukae kimya kuna mateso mengi mno ndani yake
  4. mnyamweziog

    UWAJIBIKAJI: Albert Msando ajiuzulu nafasi ya Ushauri wa Chama cha ACT-Wazalendo

    Siku ya kujiuzulu tanzagiza msando na manji
  5. mnyamweziog

    Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

    Jaman nimekumc madame, usinifanyie hivo
  6. mnyamweziog

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    Shigongo maisha yashamuendea hovyo badala ya kumshauri domo kwanini asije kulipa wafanyakazi wake mishahara mara wanafedheheka na mishahara ya tarehe 40,mpaka leo tarehe31 dirishani kweupe, then me pia namshauri aache kuzaa zaa hovyo na wafanyakazi wake huku akiwaweka ofisi moja, awe na heshima...
  7. mnyamweziog

    TCRA iwajibishwe kwa kushindwa kudhibiti matusi mitandaoni kwa viongozi wetu

    Nape lazma aseme na kubakisha mana bado analinda sembe yake, Je mtu kama me cna cha kubakisha lazma niteme nyongo yangu mtandaon nisipate kirungulia
  8. mnyamweziog

    TCRA iwajibishwe kwa kushindwa kudhibiti matusi mitandaoni kwa viongozi wetu

    Mwambie uwalaza aanze kumshughulikia bashite kwanza then cc tutafata
  9. mnyamweziog

    Tukubaliane, sio kila anachosema huyu "Binti wa Insta" ni ukweli, hata hili la Kinana anapotosha

    Mange ndiye aliyeanzisha bashite kuwa na cheti feki, mange huyo huyo ndo alisema CCM wameenda kubadilisha katika hatimaye jana yametangazwa kwenye magazeti kuwa magu atagombea urais 2020 bila kupingwa na mwanachama yoyote wa CCM bado tu kaongo
  10. mnyamweziog

    Jinsi Rais Magufuli anavyowakandamiza wanyonge

    Mxiuuu mijitu mingine sijui inafikiria kwa kukutumia mlango wa nyuma, kakutumikia wew na familia yako
  11. mnyamweziog

    Taarifa ya Ikulu: Serikali yakanusha kuwa itafuta Matumizi ya mitandao ya kijamii nchini

    Pale mzazi anaposhindwa kumrekebisha mtoto wake kwa makosa yake mwenywe na mtoto anapojaribu kumwambia ukweli humtishia kumtolea radhi
  12. mnyamweziog

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Naona umetoka kunywa viroba kazi yako kuropoka tu
  13. mnyamweziog

    Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Acha maneno ya uwoga nchi ya kwetu sote
  14. mnyamweziog

    Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Usikatae ndugu ukitapika mara kwa mara mishipa midogo ya damu inapasuka so inategemea kila mtu na ubebaji wake me nimezaa zaid ya mara moja naelewa, sema wanawake hatupendan
Back
Top Bottom