Anawafurahisha wengi...au unapimaje?Angalau walio wengi basi
Wakati wa kampeni pande zote zimetukanana zimekejeliana n.k kwanini matusi yaendelee? Au ndio staili mpya ya upinzani?kawaulize lumumba wenzio kama matusi ilikuwa suluhisho walipomtukana lowasa
Wakati wa kampeni pande zote zimetukanana zimekejeliana n.k kwanini matusi yaendelee? Au ndio staili mpya ya upinzani?kawaulize lumumba wenzio kama matusi ilikuwa suluhisho walipomtukana lowasa
Yako mengi tu hasa facebook na instagramMkuu orodhesha matusi mawili tu ambayo mkuu katukanwa kulidhibitisha hili, au weka link tusome wenyewe ili usiitwe mchochezi
Mwambie uwalaza aanze kumshughulikia bashite kwanza then cc tutafataTCRA hawajashindwa kuwashughulikia wale wote wanaotukana kwenye mitandao.
Kuna mkakati unafanyiwa kazi, wewe subiri tu, utasikia namna watu wenye kutukana watakavyoshughulikiwa. Awamu hii siyo ya mchezo mchezo. Siku wakianza kushughulikiwa utasikia kuna watu watasema "haki za binadamu" zinakiukwa.
Kitakacho fanyika mbona itakuwa fundisho kwa wengine.
Nape lazma aseme na kubakisha mana bado analinda sembe yake, Je mtu kama me cna cha kubakisha lazma niteme nyongo yangu mtandaon nisipate kirunguliaMiss chaga dadaangu unachokitetea kiko sawa kabsa lkn jamani ukweli huendana na facts pamoja na uwakilishi wa facts hizo hata kama tunaemwambia haelewi nn watu wanamshauri lkn kikukweli matusi yamekuwa mengi sana hadi aibu,angalia kimambi post zake kwa insta, jamani akiba ya maneno kidogo ni nzuri husaidia sana kwa maisha ya baadae, saiz vijana wadogo wantumia cm wanapoona mitusi kama ya mange ile watotobwetu pia watajua kumbe hata matusi ni jambo la kawaida,tufikirie pia kila tuyasemayo mi yetu binafs au hata kizazi chetu inafikiwa nayo
Mm napenda sana mada zako dadaangu lkn duuu mange kazidi sana aisee
Lkn kila tulifanyalo hapa duniani hudhihirika hapa hapa
Mange anayosema anayajua maana yy ni mtu mzima hawez kukurupka tu lkn tuangalie namna ya ufikishaji
Tuige mfano wa nape ktk kusema, angekuwa mtu mwingine kwa jana basi angesema hadi siri za chama
Anawafurahisha wengi...au unapimaje?
Nimepima kwa idadi ya kura alizopata na anavyotimiza ahadi kwa mfano elimu bure kubana matumizi ameanza kwa kuwa na baraza la mawaziri dogo kununua vivuko kuendelea kujenga miundo mbinu kupambana na rushwa madawa ya kulevya na viwanda vinajengwa nchi nzima. Hiyo ni dalili tosha anawafurahisha bali kuna wachache wako mitandaoni na baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari wanatumia nguvu nyingi aonekane hafai ama hapendwi.Utafiti wa umoja wa mataifa unaoionyesha Tanzania kama miongoni kwa nchi ambazo wananchi wake hawana furaha kabisa, moja kati ya sababu sababishi ya kutoweka kwa furaha ni baadhi ya matendo ya serikali anayoiongoza bwana mkubwa.
Nashuhudia malalamiko mitaaani, mitandaoni, kwenye vyombo vya habari n.k.
Kauli yake yeye mwenyewe kama Rais kwamba wananchi tunashughulikia mambo ya umbea (anatulalamikia), kwa kutulalamikia kwake tu inaonyesha kuna ukinzani uliopo kati ya pande mbili (wake na wetu). Kwa hali ya kawaida huwezi kulalamikiana na watu mnaofurahishana.
Nawewe labda unieleze umepimaje kwamba anafurahisha wengi.
Nimepima kwa idadi ya kura alizopata na anavyotimiza ahadi kwa mfano elimu bure kubana matumizi ameanza kwa kuwa na baraza la mawaziri dogo kununua vivuko kuendelea kujenga miundo mbinu kupambana na rushwa madawa ya kulevya na viwanda vinajengwa nchi nzima. Hiyo ni dalili tosha anawafurahisha bali kuna wachache wako mitandaoni na baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari wanatumia nguvu nyingi aonekane hafai ama hapendwi.
Muache kuwabambikia watu kesi, wizi, ufisadi, wivu, chuki, kukomoana na ndoa za jinsia moja za wasukuma wawili watu wataacha matusi wenyewe.Baadhi ya Watanzania kila kukicha wamekuwa wanakesha mitandaoni kwa kutukana matusi kwa viongozi mbalimbali wa serikali .
Hali imekuwa mbaya zaidi kwa sasa kwani matusi, kashfa , kejeli na kila aina ya utovu wa nidhamu vinaelekezwa kwa rais wa JMT mh.Pombe Magufuli kupitia mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter na mitandao mengine ya kijamii.
Cha kushangaza vyombo vinavyohusika vimekaa kimya bila kuchukua hatua yeyote.
TCRA imekuwa kimya kwa muda mrefu kukemea tabii hii isiyo ya heshima kwa Rais wetu.
Sifurahishwi jinsi kiongozi wetu alivyodhalilishwa mitandaoni.Kwani hali hii inampa stress rais wetu hivyo kuathiri utendaji wake.
Ifike mahali Watanzania tujenge utamaduni wa kuheshimu mamlaka.
Vyombo vya usalama, TCRA , na mahakama mna nafasi kubwa ya kudhibiti hali hii.
Tumechoka kuona kila kukicha rais wetu anatukanwa mitandaoni
Sababu kubwa ni ndoa ya jinsia moja baina ya wasukuma wawili wakoloni.Swali ni Moja tu Jiulize Kwa nini Anatukanwa?
Ndoa ya jinsia moja kati ya wasukuma wawili ndiyo chanzo kikuu cha matusi, wakati hawajaamua kuwa pamoja hakuna mtu alikuwa busy na msukuma mkubwa.Sasa wewe mwenye unajitukana halafu unatetea wanao tukananwa ilihali unajua fika hawatukanwi bali huambiwa ukweli. Na sifa ya ukweli huumiza siku zote. Ushauri wangu kwako nenda mwenyewe ukajiripoti TCRA kwa kujitukana na tusi lenyewe ni ID yako "Binti Msichana" na wajua fika vigezo vya kuwa Binti au msichana huna tena! Sasa kuna tusi kubwa zaidi ya hili????