Recent content by mnyamwenga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kuhama shule ya sekondary kwa mwanafunzi anayeingia kidato cha nne mwakani

    Habari wapendwa...kichwa cha habari chahusika nataka kumwamisha morogoro kwenda iringa naombeni muongozo wapendwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania National Institute of Transport (NIT) -Special Thread

    Wadau vp kuhusu evening class hapo NIT.....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Acha kujadili kitu kilichowazi wewe we unataka wanajeshi wangechukua hatua gani kwani hatua za awali za kumwamuru asimame akakaidi wakapiga risasi hewani akakaidi so unadhani wafanyeje maana hawajui huyo mtu kajiandaaje mpaka anakaidi amri licha ya kusikia mlio wa risasi???.....jeshi letu ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MNIJUZE KUHUSU CHUO KIKUU HURIA(OPEN UNIVERSITY) HASA KATIKA KOZI WANAZOTOA KWA KIWANGO CHA DIPLOMA....

    Aksante sana ligogoma umenifumbua akili yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MNIJUZE KUHUSU CHUO KIKUU HURIA(OPEN UNIVERSITY) HASA KATIKA KOZI WANAZOTOA KWA KIWANGO CHA DIPLOMA....

    Habari zenu waungwana naomba kufahamishwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza na pia ningependa kufahamu changamoto zake hasa za kujifunza....aksanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    Kaka ingependeza ukaweka picha ya huo mmea
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Goita Dalili na Tiba yake

    Matumizi ya dawa hizo tafadhari naomba uelezee hapa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari zenu comrades.. Mimi ni kijana mwenye miaka 25 ni mwajiliwa serikalini,natafuta mke awe na miaka kuanzia 18 hadi 28 ,nipo serious mwanye kuhitaje naomba aje PM sichagui Dini wala kabila
Back
Top Bottom