Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Fulsa badala ya Fursa
vi wooonder
vi wooonder
Nakuonaga kwenye Uzi wa forex.
Me pia, ukiisha huu mwezi nitakuwa na miezi minne wewe una mda gani?Yeah!! najifunza mkuu
Me pia, ukiisha huu mwezi nitakuwa na miezi minne wewe una mda gani?
Utakuta na ma tutor kama Deo, Leticia, Edgar mzee wa linux Mosha aka Magumashi mzee info system.wakuu mimi shida yangu nahitaji kujua katika course ya IT kwa kila semister tutasoma vitu gani kuanzia first year had last year kwenye tovuti yao sijaona
shukurani
nilikuwa nakuangalia ulivokuwa unaanza but uliniwahi kama wiki mbili ivi then mimi ndipo nikafata
Utakuta na ma tutor kama Deo, Leticia, Edgar mzee wa linux Mosha aka Magumashi mzee info system.
Ok chuo gani unaenda wewe??
Wapo poa ila uwe unafiatilia vipindi nakufanya kazi kwa muda.Sawa kaka vipi wapo vizuri lakini
Ahaa mm udsm course bcom in accountingNIT course IT
Navyojua vyuo vyyote huwa vinaruhusu transfer, so hata NIT wataruhusu tu, baadhi ya vyuo huwa unaandika barua ya kuomba kuhamia ukiambatanisha na admission letter ya chuo ulichotoka na copies za vyeti vyako. vyuo vingine ukishapeleka hizo documents hukupa na form ya kujaza. so, fanya kupeleka maombi yako ya kuhamia mapema kabla TCU hawajafunga muda wa transferSamahani NIT wanaruhusu transfer kutoka chuo kingine na kma ndio process zake?!!
YeahNavyojua vyuo vyyote huwa vinaruhusu transfer, so hata NIT wataruhusu tu, baadhi ya vyuo huwa unaandika barua ya kuomba kuhamia ukiambatanisha na admission letter ya chuo ulichotoka na copies za vyeti vyako. vyuo vingine ukishapeleka hizo documents hukupa na form ya kujaza. so, fanya kupeleka maombi yako ya kuhamia mapema kabla TCU hawajafunga muda wa transfer
Ushaumia tayari. Jiandae kwa kisaikolojia.Demu wangu anakuja hapo
Sio kirahisi hvyoUshaumia tayari. Jiandae kwa kisaikolojia.