Recent content by mnyamakc

  1. mnyamakc

    Nick Mbishi & One 'The incredible' mpaka wafe?

    Hip hop ya kweli ipo tamaduni music
  2. mnyamakc

    Hivi Kikwete hakujuwa madhara ya kukata jina la Lowassa au alitiwa upofu?

    Mungu anataka kutukomboa ndo mAna kila wanacho fanya ni mwiba kwao
  3. mnyamakc

    Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    mungu anaona wapinzani wazalendo wameiepuka thambi iyo mishwada mikubwa kama hiyo inaitwa hati ya zalura watanzania mbona tuna buluzwa na mafisadi na sisi tumewang'ng'nia tu da tutaliwa mpaka mwisho hii nchi yetu sio ya ccm kwenye uboleshaji wa daftali la wapiga kula tuna buluzwa pia mpaka mama...
  4. mnyamakc

    Mwigamba kumvaa Mnyika Ubungo

    mussa Allan unaota SAA Tisa mchana nanyie mno ishi kwa kuitegemea ccm iwalindie mambo yenu huu ndo mwaka wa mwisho
  5. mnyamakc

    Mpwapwa: CCM yawaita 16 Kwa kuanza kampeni kabla

    Dodoma kuna maskini wenzetu wengi na ndo chimbuko la omba omba lakini ndo wamekua wakii kumbatia ccm sana kwa kupewa kofia kanga visukali na ndomaana wameanza mapema kampeni nakuwagawia watu lushwa ndogondogo Dodoma hambadiliki tu
  6. mnyamakc

    Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    kiongozi yoyote anaye tokana na ccm hafai hata kidogo ukiweka samaki mzima kwenye kapu lenye samaki wabovu nae ataoza
Back
Top Bottom