Mwigamba kumvaa Mnyika Ubungo

Mwigamba kumvaa Mnyika Ubungo

Hata wakisimamisha jiwe VS Mnyika Ubungo, jiwe linashinda!

Nape alishindwa hata kura za ndani (maoni). Kwa hiyo ukifanya hesabu za cross multplication utagundua kuwa hata jiwe ni ni maarufu kuliko Nape.
 
uko sahihi mkuu, matatzo ya wana ubungo wanayajua wana ubungo. ngoja tusubir nan ni nan baada ya kipyenga cha mwisho.
 
mussa Allan unaota SAA Tisa mchana nanyie mno ishi kwa kuitegemea ccm iwalindie mambo yenu huu ndo mwaka wa mwisho
 
Mwigamba hauko strategic, ukitaka ubunge nenda kijijini kwenu, hapo mjini ni kwa wajanja kama akina mnyika, utapoteza hela zako na resources nyingine unnecesary. Ni kama vile hapa arusha useme unakuja kugombea hapa, itakuwa kwako kwani hapa hakuna hadithi ni chade,a tuuuuuuuuu.
 
mbona Ana tapa tapa,Mara magu Mara ubungo Mara sijui arachuga.
unajua ukishapoteza dira kila jimbo unalimezea mate,huyu mwigamba hawez hata kushinda nusu kura za mnyika.
muacheni aje tumor kichapo cha nguvu.
 
Kuna watu ndo wanataka kupotezwa kwenye siasa
 
mbona Ana tapa tapa,Mara magu Mara ubungo Mara sijui arachuga.
unajua ukishapoteza dira kila jimbo unalimezea mate,huyu mwigamba hawez hata kushinda nusu kura za mnyika.
muacheni aje tumor kichapo cha nguvu.
Bado hajielewi anataka jimbo gani.
 
Mnyika wa 2010 sio huyu, wanaubungo walikuwa na matumaini naye baada ya kuwaahidi mambo kadhaa, ila sasa keshapoteza mvuto, kwani hajatekeleza ahadi yake hata moja!

Hivi ile ahadi ya Kigoma kuwa kama dubai aliitoa nani vile?!
 
CCM chini ya yule mama Hawa Ng'humbi walishindwa mwaka 2010 na hajulikani kwa sasa yuko wapi!

Halafu ishu ya maji safi wameishikia bango utadhani kijijini kwake kule (Mwigamba) wanapata maji safi ya kunywa!!

Sasa hapa sijui kashindwa Mnyika au serikali ya CCM ambayo ndiyo inayoongoza serikali inayokusanya kodi na kugawa matumizi yake.

Hawa kina Mwigamba na mwenzao Supreme Leader wa chama chao ni shoka na mpini wa CCM kuua upinzani wa kweli Tanzania. Period!
 
Back
Top Bottom