Recent content by Mnyamahodzo

  1. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya, Mbowe na Lissu ni wamoja? Wanazungumza lugha moja na kupaza sauti moja? Kwanini wanaonekana kama kila mtu na lake, kila mtu na lwake?

    Mkuu Pascal, nafikiri sasa umepata majibu juu ya utofauti wao na lugha moja wanayoapswa kuzungumza Mweneyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu.
  2. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania Chadema yagoma Daktari wa serikali kuchunguza kifo cha Dereva wa Heche, yaleta Daktari wa Chama chao

    Ni Criminal case si Police case.. Si kweli kwamba lazima ifanywe na Pathologist wa Polisi.
  3. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hiki kizazi cha Gen Z wana Iq ndogo?

    Nafikir kuna namna hujafuatilia kwanini wako hivyo. Ndivyo namna kizazi chak na waliokutangulia walivyowaandaa. Wengi wamenyimwa elimu bora na kutengenezewa mazingira ya kukulia shuleni. Uanzishwaji wa shule za kata lukuki bila kuzingatia maandalizi sahihi ule mwaka 2006 (hamkutembea vilivyo...
  4. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania TFS safisheni madudu ya Vikindu ecological Garden ni aibu

    Kwa waliowahi kutembelea Vikindu Ecologial garden watakuwa wamewahi kukutana na ujinga fulani wa wafanyakazi wa pale. Unapokuwa mkimya basi wao wanadhani wamekupata kwelikweli na hudhani wanajua mengi. Inasikitisha kuwa hawawezi kusoma uso wa mtu au hata namna anavyouliza maswali kujua kuwa huyu...
  5. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

    Mzee Mayala, Lipo tatizo lililotengenezwa na tatizo hivyo kuja kuwa tatizo. Taarifa ya Tume ya Uchunguzi a.k.a Tume ya jJaji Chande ilipaswa kuwa msingi na rejea ya Tume ya Uchunguzi wa Kijinai a.k.a Tume ya Jaji Lila. Lakini taarifa ile imetiwa kwapani, imekaaliwa kupewa yeyote. Hawa wanaondoka...
  6. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

    Naiheshimu sana haki yako ya kuzaliwa ya kuamini au kutokuamini.
  7. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania Kitu gani hasa kilichomfanya Rais Ally Hassan Mwinyi kuunda Tume ya Francis Nyalali?

    Hadi sasa hili swali majibu yake yana faida sana kwa wafuatiliaji wa Siasa za Tanzania
  8. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania Kweli CHADEMA wanaotetea haki za Vyombo vya Habari wanawafukuza TBC kwa kuwadhalilisha eti wamezima matangazo ilhali TBC ilikuwa bado hewani

    Hivi huoni aibu kuyaandika yote haya ilhali hata sasa kwenye youtube uko ushahidi wa ujinga uliofanywa na wale waandishi wa TBC?
  9. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

    Mheshimiwa Daktari Ayoub Ryoba, Mengi ya kufurahisha na ya karaha yamefanywsa na TBC tumeyapokea kabla ya uongozi wsako na sasa kipindi cha uongozi wako. Binafsi nilikupenda nilipokuwa nasoma makala zako na kukusikiliza katika radio na vipindi kadhaa vya runinga namna ulivyokuwa unachambua hoja...
  10. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania China - Tanzania Security wameshindwa kuilinda miundombinu ya UDART (Mwendokasi)

    CT Security ndiyo waliopewa jukumu la kulinda miundombinu ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi: Kimara hadi Kivukoni, Morocco hadi Gerezani, Depot yao pale Jangwani na feeder stops kama zile za Shekilango, Kinondoni. Katika feeder posts sasa hivi kumeshaanza kufunguliwa bolt na nuts zake...
  11. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania TCRA fungia vipindi vya Uhondo na Sasambua

    Kuna vipindi vinarushwa na FM radio zinazorusha matangazo yao kutokea jiji la Dar es salaam. Vipindi hivi ni vile Uhondo na Sasambua. Ukweli ni kuwa, japo vimeendelea kurushwa kwa muda mrefu, kimaadili vipindi hivi havijengi jamii bali vinaiharibu kidogo kidogo. Wakati kipindi cha Uhondo...
  12. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM anatokea mkoa gani?

    WanaJF, naomba historia fupi ya Dr Bashiru Ally Kakurwa. Kwa kuanzia naomba kujua ni mwenyeji wa mkoa gani na wilaya ipi. Asanteni
  13. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania MR PUNCH ni nini?

    Nami nawasubiri..
Back
Top Bottom