Dawa za Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

Dawa za Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

Salaam wakuu!!

Miaka ya tisini mwanzoni kuna mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa akifanya biashara ya dawa za kulevya alikamatwa yeye gari lake. Gari lake hilo (tractor/kichwa) kilikaa muda mrefu sana pale Polisi Kilwa road aka Ufundi. Inasemekana huyu jamaa alitoroshewa Kenya kwa msaada wa wakuu wa Polisi akitokea hospitali.

Tafadhali naomba info zaidi kwa wanaojua.

Ref:


Halafu check na video zinazofuatia uone Viongozi wetu wa kiafrika walivyo waroho wa mali pasi na aibu............!!!!
cc:Invisible and MOSSAD II
 
Last edited by a moderator:
Jana bbc nimesikia majina ya watu Hawa yakitajwa kwamba wamekuwa arrested Na fbi Mombasa katika jumba Lao la kifahari na kwamba walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu.inawezekana ndio hao au familia mnazoelezea hapa. Du hii vita ya drugs Ni ngumu aisee.
 
Huo mtandao hautaweza kwisha uko zaidi y karne madon n magodfather ndio wanaendesha,kma umeangalia movie za godfather utaona jinsi mtandao ulivyo,ukidhulumu wewe n kizazi chako mnapotezwa kabisa
u

hiyo movie naikubaligi sana kuitazama....
 
u

hiyo movie naikubaligi sana kuitazama....

So hiyo biashara ni risk sana pia dhuluma hamna unaweza tumiwa mzigo toka brazil 2 china unakuta hamjuani ila details zko zote anazo kua nawe unauza drugs.kudhulumu huwezi cz watakufuata n drugs dealer dunia yote wanajua rules zao
 
So hiyo biashara ni risk sana pia dhuluma hamna unaweza tumiwa mzigo toka brazil 2 china unakuta hamjuani ila details zko zote anazo kua nawe unauza drugs.kudhulumu huwezi cz watakufuata n drugs dealer dunia yote wanajua rules zao

mtaji ni uaminifu wako tu, hakuna ku sign docmnt wala nini!
ukizingua basi umekwishaaaa
 
Hata hawa madon w tanzania kukutoa roho n seconds cz muuza drugs ana roho ngumu sana

hata bongo zipo sana unakumbuka yule jamaa walim kill kwenye mataa ya ilala kwa mkuu wa mkoa
smbdy suma...watu walim shoot akiwa ndani ya vogue yake alafu wakasepa
 
Nakumbuka nilikuwa nakaa keko machungwa nilikuwa mdogo enzi hizo, siku moja tukasikia kilwa road limekamatwa lori la dawa za kulevya basi tukakimbilia kuliona hilo lori ...nikarudi home nikapigwa sana na baba....lile lori hadi leo bado lipo kichwa chake pale kilwa road polisi nikipita nakumbuka zaman sana.
 
Jana niliona habari K24 ya kenya kuwa mtoto wa akasha amekamatwa kwa madawa huko mombasa n wakapandishwa mahakamani.
 
mtaji ni uaminifu wako tu, hakuna ku sign docmnt wala nini!
ukizingua basi umekwishaaaa

hizo ndio tabia za mafia mkuu, hakuna makaratasi ni kuaminiana tu, utasikia sisi ni kama familia hakuna haja ya makaratasi tunaaminiana..lakini haimaanishi kuwa wanaaminiana kweli, ukizengua unauwawa,
 
Hapana simbaulanga alikua mtumishi wa Benki kuu aliyelaghaiwa na mpenziwe kuiba fedha za benki kuu, baadae akakimbilia uingereza yeye pamoja na watoto wake, kosa lake kubwa lilikua kukosa viza ambapo akikamatwa uwanja wa ndege, mpenziwe alikamatwa kenya laikotorokea na kutumia fedha za wizi kununulia magari ya biashara

Mpenzi wa sarah simbaulanga aliitwa Mohamed Toroha.Walifungwa miaka saba kila mmoja.
 
hizo ndio tabia za mafia mkuu, hakuna makaratasi ni kuaminiana tu, utasikia sisi ni kama familia hakuna haja ya makaratasi tunaaminiana..lakini haimaanishi kuwa wanaaminiana kweli, ukizengua unauwawa,

hiyo ndiyo bomba maana huwa kuna washenzi wanachukua mzigo halafu wanaleta ujuaji wa kuwa tuliandikishana wapi? hiyo ndo dawa yao!
 
Ndo maana mm siamini kabisa kama mkuu yuko serious.maana wana ccm wengi wanapiga haya makitu
 
Wauza madawa wana chain ndefu mno , akina Elchapo na wahuni wenzake wapo jela Ila biashara na ukatili wa magenge ya wahuni wa madawa ya kulevya bado Inashamiri.

Na hawa wahuni huwa wanawasiliana kwa codes .....wanaweza endesha shughuli zao wakiwa hata jela
 
Akasha alikula shaba huko uholanzi naona watoto wake walikuwa wanaendeleza mitkasi za mzee wao,
Bongo pia kulikuwa na jaji mmoja mwanamama alishapindisha kesi moja watuhumiwa wapaka wakatoroka
Huyo jaji alikuwa magumashi sana ngoja nkumbuke jina lake!

Ova
 
Back
Top Bottom