Recent content by mnyalyoba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri Gani Kwenye Kiapo cha Upadre!

    Ni wito wa kujikatalia kwa lengo la kumtumikia mungu tu, mabadiliko yoyote nje ya kiapo kile ni kuanguka ktk kiapo cha utii kwa mungu na askofu ndiyo maana ukiacha kile kiapi bila utaratibu , maisha yatayumba na huwezi kuwa sawa ktk jamii.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tamisemi na UHAMISHO tukutane hapa!

    Subira
  3. M

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Nacte wafanye uchunguzi wa Masters ya Nasar coz elimu anayodai kuipata nje ya nchi na action zake havirandani kabisa walau Sugu ingawa hajaenda shule ana hoja za mashiko na data bases.
  4. M

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Nassar aweke hiyo Rb , kwa taarifa za hivi punde mlinzi aliyemuua huyo mbwa kwa maelekezo rasmi amepatikana na nyumba ya Nassar ku shwar haina hata mchubuko popote. Vipigo vinawewesesha watu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Taarifa toka arumeru usa river ni kuwa arumeru kwenyewe hakuna tukio hilo ndio maana mzee wa flash hajaweka picha ya mbwa aliyeuwawa na hajaripoti polisi .Watanzania sasa ni wasomi kuliko masters za ulaya, hivyo inaombwa , Nassar aweke picha ya mbwa au Rb ya polisi, imeelezwa taarifa hiyo ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Du balaa , ingawa hakuna hata picha moja ya ushahidi wa mbwa aliyeuwawa usiku arumeru, nilikuwa naongea na askar mmoja hapa usa river polisi , hawajui chochote juu ya tukio na amesema arumeru shwar , na hizo na taharuki za flash ktk kichwa cha Nassar
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliotangaza kuhamia CCM arusha walikuwa wamepangwa

    Siasa zinahitaji umakini sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

    R.I.P To them all. Hakika Tuliwapenda ila mungu amewapenda zaidi ahimidiwe sasa na hata milele.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Godfrey Ngoyai Lowassa ni kijana wa Edward Ngoyai Lowassa?

    Ni kilaza wa kurithi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana majina yake Mfukoni Ubunge wa Afrika ya Mashariki

    Unategemea nini kwa wabakaji wa demokrasia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Morning ndugu

    Tuamke na bwana muumba wetu, amen
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ninayo 6.5m nahitaji Gari aina ya Noah

    utapata mbovu. uwe mvumilivu ongeza 3.5m upate used kutoka nje.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Mkoa, Wilaya na Tarafa mpya za Tanzania

    wilaya ya tanganyika ipo mkoa wa katavi mpanda
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Anahutubia tu si kulivunja kwa mujibu wa Jenister mhagama
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    good speech
Back
Top Bottom