Kuna mzee anaitwa Masoud Masoud yuko TBC nafikiri mpaka sasa, namuelewa sana kwenye simulizi za historia ya mziki wa zamani na ndiye aliyetangaza msiba wa Michael Jackson
This guy Paul Kagame ni mtu hatari sana ni master mind aliyetukuka, hakika mimi binafsi huwa namkubali sana, yuko calm na very focused sana. Nafikiri ni moja kati ya maraisi bora kabisa waliowahi kutokea Afrika Mashariki.
Mara nyingi historia za waafrika waliofanya makubwa huko duniani haziandikwi vizuri, sijui watu wa duniani huko wanaogopa nini kuandika historia iliyokamilika za muafrika... lazima kuna jambo kubwa waafrika wako nalo, any way tuendelee kula mtori, nyama tutazikuta chini.
You can imagine now we are only approximately 6 million people we ave a lot of chaos, regarding the Dar es salaam rapid urbanization, we are experiencing much flooding, climate change, poverty and diseases than before - having 10 million people without having any preparation to accommodate those...
Wadau napenda kusema hodi hapa jamvini, mimi ni mmgeni wenu, lakini si mgeni wa jamvi la jamii forum, nilikuwa napata yote ya jamvini kwa kupitia njia nyingine.
Kwa maana kusoma kwa kubrowse bila kuwa na akaunti ya hapa jamvini. Sasa rasmi nimejiunga nanyi kuendeleza kugurudumu la kupashana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.