Recent content by Mnyalugendo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

    yale yale uchakachuaji umeanza kazi:llama:
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    Ukatili huu una mwisho lazima kuna kitu nyuma yake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    mwangosi ni wa mbeya, ulimboka mbeya, ticha naye kutoka mbeya polisi na wanyampala kulikoni????
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa na Sugu kuunguruma Mafinga leo

    wananchi ndio wanaingia kwa wingi dhidi ya propaganda ya magamba wakiwatisha wanannchi kwamba yale ya nyololo yatatokea
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa na Sugu kuunguruma Mafinga leo

    Wan jf leo mchana huu makamanda wawili wataaunguruma mafinga mjini ili kuuendeleza vuguvugu la mabadiliko nitawajuza kila kitu kinachojiri kwenye mkutano huo
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM wapigeni stop Shonza na Mwampamba kuhubiri Udini, Ukanda na Ukabila....NI HATARI!

    nadhani ndoa imekupeleka huko bado mrembo utapat tu mchumba hayo majamaa yako shap kweli
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji zanzibar ni mtaji kwa serikali

    Mauaji yanayoendelea visiwani ni mtaji kwa serikali na watendaji wake kwani mauaji hayo yanapotokea haraka sana tume huundwa na kutumia pesa nyingi za walipa kodi mwisho wa siku hakuna mrejesho wowote ule tjiulze watanzania wenzangu majibu ya uchunguzi wa katibu wa muft kumwagiwa tindikali...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kesi za viongozi wa CHADEMA

    naomba chadema muwafatilie kwa karibu washtakiwa wa kesi zenu mfano huku mafinga washtakiwa hawna sapoti ya chama jitahidi sana wananchi bado wanawaamini
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwampamba Amjibu Dr Slaa

  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwampamba Amjibu Dr Slaa

  11. M

    JamiiForums Tanzania UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

    tatizo lenu wazee wa kujilipua hamkumbuki fadhila shule za wakristo zimewasomesha zilipotaifishwa leo mna elimu mnasahau mlikotoka ingekuwa pilau msingesahau
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kiama cha CCM

    ni kweli kabisa watumishi wa uma tulishachanganya akili za kuambiwa na za kwetu tukaiacha ccm viva cdm
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mgeni wa ITV Bulembo alivyoisakama CHADEMA mwanzo, mwisho

    tatizo la CCM kila mtu ni mtoa rushwa na uhakika hata mimba zao zilipatikana kwa rushwa ndio maana imewaganda damuni
Back
Top Bottom