Recent content by mnyalilungulu

  1. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Shirika la Fedha Duniani (IMF) laahidi kuipatia Tanzania fedha itakayoihitaji

    Mkurugenzi Mkazi wa IMF Tanzania, Jens Reinke akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi leo katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania, Jens Reinke ameyasema hayo wakati alipokutana na kufanya...
  2. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Japan imeongeza siku za hali ya hatari mpaka May 31 raia wake wameambiwa wakae tayari kuanza kuishi maisha na CoronaVirus. Waziri Mkuu Shinzo Abe anasema,"Nchi nzima ijitayarishe kuishi na Corona au maisha na CoronaVirus, hali ikiendelea hivi hatuta weza kuendesha maisha yetu na uchumi...
  3. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hili la Dr Bashiru na matumizi ya Dola inamanisha Hata tukipiga tusipopiga kura bado dola itaamua nani mshindi

    hivi waga anaandika wapi ana akaunti social media??
  4. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea CCM kwa hila wakanunua wapinzani wote nini kitatokea?

    UPINZANI wenyewe hawajielewi wamevurugana kwenye vyama vyao ndo maana wana hama sina hakika kama CCM ndo huwanunua
  5. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi mwaka huu utakuwa mgumu kwa CCM

    mwaka huu CCM wanaterezea ganda la ndizi
  6. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

    Kawe Alumni, Yah lazima tuheshimiane wakati wa ukoloni ulisha pita
  7. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    StingRay, Maranyingi Taarifa zake kua na chembe chembe za ukweli,waangaliwe watu hao
  8. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

    Dada HALIMA siasa siyo uadui pungguza chuki mama
  9. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    dah ni pigo kubwa sana la CHADEMA ikiwa ni siku chache tu baada ya MWAMBE na SUMAYE kuhamia CCM haiya kazi ndo kwa kwanza imeanza ikiwa ni dakika ya tatu ya mchezo mpaka tukafike 45 sijui itakuaje
  10. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

    kwani marekani ni nani? kwamba kila atakachosema tufuate walishatutawala wakati wa ukoloni inatosha
  11. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Shame on United States of America

    huko umeenda mbali sana mzee baba ni juzi tu walipo muua kiongozi wa kijeshi huko Irani
  12. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Kadinali Pengo Uliaibisha Kanisa Kuhusu Makonda

    kadinali yupo sahihi kwasababu makonda yupo sahihi na hakuna baya alilolifanya na hata kanisa halipo radhi kuachia upuuzi kama uhuu wa kina pompeo
  13. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

    siyo kwamba imeshindwa kukusanya na kupata pesa hizi, mambo ni mengi na tunaishi kwa priorities yote yanaweza kuwa ni matatizo na changamoto tunaangalia nini kianze
  14. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

    endeleeni kujidanga tukutane oktoba kwenye kapo la kupigia kura ndo utajua kama anakubalika au hakubaliki
Back
Top Bottom