Recent content by MNYAKONGWA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya shukrani kanisa la Full Gospel bible Fellowship - kwa Kakobe

    Ndg. @ Malikauli; Haulijui kanisa la FGBF kama wengi wanaoropoka hovyo katika jamii ! Mhe.Askofu Kakobe ni mchapakazi hodari na wafuasi wake pia! Maombi pale Mwenge kwa Kakobe yanafanyika kwa zamu kwa kila kundi la mashujaa wa maombi kutumia saa mbili tu na kuendelea na shughuli zake za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kakobe aongoza maandamano ya Kanisa lake

    Vibwagizo wakati wa matembezi:"Hakuna wa kuwatenganisha askofu Kakobe na watu wake wala shetani wa kumshinda Askofu Kakobe bado hajaumbika kama si kuzaliwa. Mungu wa Kakobe ndiye Mungu wa Kweli !
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtu anapona ukimwi kwa njia ya miujiza ? Ndiyo.

    Wakuu,naongeza changamoto katika suala hili !
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

    Wapendwa,hatimaye askofu Kakobe ataendesha makongamano ya kimataifa katika hoteli ya Marriott na watu wengi wanaendelea kujiandikisha kuhudhuria nchini Canada,katika crusade & conference. Tembelea: www.bishopzacharykakobe.org/en/events/upcoming-events
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeingia bila hodi !!!

    Ndugu zangu wana JF; mabwana na bibi,wakubwa kwa wadogo.Naomba mniwie radhi kwa kuingia ndani ya JF;bila kubisha hodi wala kuwasalimia.Naamini mtachukulia nami katika udhaifu na kunisamehe ndugu katika JF sasa !!! :amen:
  6. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

    Mhubiri kutoka nchi maskini kwenda kuhubiri nchi tajiri ni kama vita ya Daudi na Goliati !!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

    Nashukuru kwa taarifa ya Kakobe katika jiji la Toronto;lakini tukumbuke pia,kipindi hicho hicho kutakuwa maandamo na sherehe kubwa zinazoitwa eti fahari za wasagaji na mashoga kwa maelfu yao nchini Canada !!! Bila shaka, ni vita kati ya Waliobarikiwa na Waliolaaniwa !
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    :israel: :israel:
Back
Top Bottom