Binafsi naomba kutofautiana nawewe ktk hoja zifuatazo: 1, 2010 chadema ilisimama peke yake na ikapata 26% lakin mwaka huu vyama zaid ya vi4 vmeungana, hii ina maana kuwa kama wangeunganisha nguvu wangepata zaid ya 30% 2. mwamko wa watu kipindi kile haukuwa mkubwa sana na cyo...
Huo ni ukweli usiopingika, na uko sahihi kabisa kwamba tz tumechoka sana kuliona li joka la mdimu ccm likiendelea kushika madaraka miaka 50 tena yakujifanya kuwa tuna aman wakati ukweli n kwamba tuna utulivu tu lakin c aman. utakuwaje na aman wakati unaishi kwa wacwac mkubwa wa maisha yako...
Brother character x, real u have touched me. we real need true tranformation right now.! fifty years of loosing is enough. let we join together our hands to get the new country of our desire.! Together we can.!
Binafsi c mwanachama wa chama chochote lakn ukweli n kwamba watanzania walio wengi walitaman sana wapate mabadiliko na kuiondoa ccm madarakan lakin cyo kwa style hyo. huwez mkaribisha mgen aliyekuwa kwenye mfumo tuliokuwa tukiupgia kelele kila cku thern et ndo anafka na kuwa baba tena wa familia...
Binafsi c mwanachama wa chama chochote lakn ukweli n kwamba watanzania walio wengi walitaman sana wapate mabadiliko na kuiondoa ccm madarakan lakin cyo kwa style hyo. huwez mkaribisha mgen aliyekuwa kwenye mfumo tuliokuwa tukiupgia kelele kila cku thern et ndo anafka na kuwa baba tena wa familia...
Aliyemloga nani?? hana washauri hta kidogo?? huyu mama ni mtu na heshima zake, kwanini anaendelea kujidhalilisha hvyo?? hivi kweli anahc watanzania bado ni wajinga na wepesi kusahau kiac hiki hata kutokuwa na uwezo wakuona uchafu na dharau alizoonesha?? dah, amakweli sikio la kufa halisikii...
Povu la nini kijana?? 2kiwaambia nyinyi wabaguzi na hamfai kuongoza zaidi ya vurugu hamtaki kuukubali ukweli japo ukweli ndo huo. sasa ubaguz wa nin wa kuwakejeli watu wakigoma. wamekufanyaje?? lakn ckushangai kwan unaonesha ubaguz wako na umburula wako kuingza ukabila hata sehemu icyostahili...
Kuna watu hamuijui kigoma vizuri.mimi nmekaa nao huko na nawafahamu vizuri. kama kuna mkoa unastahili pongez hapa tanzania katika kupokea na kuadopt mabadiliko ya kidemocrasia, bac kigoma itakuwa inaongoza.fuatilia uchambuzi wa Mtatiro utanielewa ninachokisema. kigoma hawachagui kwa upofu...
Kaka umemaliza yote sina comment. wahenga walisema, ukiwa mwongo, usiwe mwepesi wa kusahau. kila kukicha bavicha hawahawa walituaminisha kuwa ACT ni ccm b na mdhamini wake mkubwa ni LOWASA coz anatengeneza plan B ya kutokea ikitokea akakatwa, leo amekataliwa na wazalendo kwani masharti yao ya...
tukundane, weka akiba ya maneno. unamfaham zitto vizuri wewe? kwanini unahisi ni rahisi mvuto alotokanao CHDM utaisha na c kuongezka zaid? tambua katka historia ya upinzan hapa Tanzania hakuna chama chochte cha siasa klichoweza kuvta attention ya watu kwa kpindi kifupi Kwa philosophy nzuri kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.