Nikki wa pili habari nyingine, awapigapiga wanasiasa wanaohama hama vyama kwa hoja zisizo na mashiko

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
581
642
Kati ya wasanii ninaowakubali ni huyu jamaa clouds 360 ipo hewani anamchemsha sana KIBANDA mwenyekit jukwa la wahariri...anampiga maswali kibanda yuko kimya suala kubwa nililopenda ni alipohoji uhalali wa viongozi kuhama chama kimoja kwenda kingine...anauliza ni kwanini wanasiasa wanahama vyama na sababu wanazotoa sio za kuikomboa nchi na wananchi kwa ujumla...ila ni kwa maslahi zaidi...akamtolea mfano LEMBELI .....baada ya clip yake kuwekwa...HATARI SANA KIBANDA KATIWA AIBU
 
Nikki mweupe sana kichwani hasa siasa na uchumi vinapohusika, bora hata Kijakazi anajitahidi! Hudson na Sasali ratibuni vizuri kipindi huyo Nikki ni vurugu tu tangu siku ya Zitto, Mtatiro hadi leo ni papara tupu. Kuanalyse issue za kisiasa siyo bongofleva unakariri mistari teh ...teh........teh...!
 
niki hajui tu kuwa kusoma sio kujua kila kitu,,,huyu jamaa pmj na kaka ake wanachuki sana na chadema hapo inshu sio lembeli hapo ishu ni chadema.
Sema mtu km huyo tunampuuza tu kwa sababu hajielewi,huyu ni mtu aina ya zzk ambaye anaamini mitazamo yake tu hata km ya kishenzi
ila sishangai kasoma sekondori kigoma tayar anaelement za kiha,means inferior,damu ya arusha sio km huyu mbulula hasa arusha town.
Mshua wangu ni jirani sana na kwa kina niki so nawajua ni watu wabnafs sana na wenye kujibagua
 
Povu la nini kijana?? 2kiwaambia nyinyi wabaguzi na hamfai kuongoza zaidi ya vurugu hamtaki kuukubali ukweli japo ukweli ndo huo. sasa ubaguz wa nin wa kuwakejeli watu wakigoma. wamekufanyaje?? lakn ckushangai kwan unaonesha ubaguz wako na umburula wako kuingza ukabila hata sehemu icyostahili. 2seme ukweli2 ht kama hupendi, kuna mwenye uwezo wa kujenga hoja ya maana na yenye manufaa kwa taifa zma kama kafulila na zitto??? ht km hupendi lakn ukweli utabaki kuwa ukweli daima
 
Acha uongo.kijana anayeimba ubongo wa flavour umlinganishe na kibanda.hiyo tv wengine hatuiangaluagi

Kwaiyo kuimba bongo flavour ndio kukosa akili.Acha mawazo ya mgando alafu fwatilia mambo.
Uyo niki wa pili ana elimu kubwa sana anaweza ata kukuzidi wewe, akikamilisha PHD atakuwa ni msanii mwenye elimu kubwa hapa bongo.
 
ukweli ni kwamba hao wanaohama vyama ni wasaka tonge tu. hizo porojo sijui wanapigania masilahi ya wananchi ni maneno tu ya mdomoni. ndo maana lembeli amekiri alikuwa anaishi kwa presha kwa sababu alikuwa anaogopa kukatwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
na sasa yupo chadema ambapo anauhakika hatakatwaaaaaaaaaaaaa.

Kati ya wasanii ninaowakubali ni huyu jamaa clouds 360 ipo hewani anamchemsha sana KIBANDA mwenyekit jukwa la wahariri...anampiga maswali kibanda yuko kimya suala kubwa nililopenda ni alipohoji uhalali wa viongozi kuhama chama kimoja kwenda kingine...anauliza ni kwanini wanasiasa wanahama vyama na sababu wanazotoa sio za kuikomboa nchi na wananchi kwa ujumla...ila ni kwa maslahi zaidi...akamtolea mfano LEMBELI .....baada ya clip yake kuwekwa...HATARI SANA KIBANDA KATIWA AIBU
 
niki hajui tu kuwa kusoma sio kujua kila kitu,,,huyu jamaa pmj na kaka ake wanachuki sana na chadema hapo inshu sio lembeli hapo ishu ni chadema.
Sema mtu km huyo tunampuuza tu kwa sababu hajielewi,huyu ni mtu aina ya zzk ambaye anaamini mitazamo yake tu hata km ya kishenzi
ila sishangai kasoma sekondori kigoma tayar anaelement za kiha,means inferior,damu ya arusha sio km huyu mbulula hasa arusha town.
Mshua wangu ni jirani sana na kwa kina niki so nawajua ni watu wabnafs sana na wenye kujibagua

Naunga mkono hoja yako! Watu wa Kigoma element zao zimekaa kisalitisaliti na ukibaraka! Ndiyo maana wanapenda kusaliti vyama!
 
Kwaiyo kuimba bongo flavour ndio kukosa akili.Acha mawazo ya mgando alafu fwatilia mambo.
Uyo niki wa pili ana elimu kubwa sana anaweza ata kukuzidi wewe, akikamilisha PHD atakuwa ni msanii mwenye elimu kubwa hapa bongo.

Kuwa na PHD sio issue hasa ile anayoisoma yeye, itakuwa singled out na kuonekana kubwa kwa sababu ya historia yake ya usanii ukizingatia mabongo flavour wengi hapa tz ni form four tena failures. Nampa hongera kwa kuwa msanii wa muziki kuja kuitwa Dr wa kusoma sio jambo dogo.
 
Kwaiyo kuimba bongo flavour ndio kukosa akili.Acha mawazo ya mgando alafu fwatilia mambo.
Uyo niki wa pili ana elimu kubwa sana anaweza ata kukuzidi wewe, akikamilisha PHD atakuwa ni msanii mwenye elimu kubwa hapa bongo.

Kwahiyo akishakua msanii mwenye elimu kubwa bongo????Shenzi type,stupid post
 
by Victor wa happy;
niki hajui tu kuwa kusoma sio kujua kila kitu,,,huyu jamaa pmj na kaka ake wanachuki sana na chadema hapo inshu sio lembeli hapo ishu ni chadema.
Sema mtu km huyo tunampuuza tu kwa sababu hajielewi,huyu ni mtu aina ya zzk ambaye anaamini mitazamo yake tu hata km ya kishenzi
ila sishangai kasoma sekondori kigoma tayar anaelement za kiha,means inferior,damu ya arusha sio km huyu mbulula hasa arusha town.
Mshua wangu ni jirani sana na kwa kina niki so nawajua ni watu wabnafs sana na wenye kujibagua

MKUU Victor wa happy, HUYU NIKI WA PILI NAMJUA TANGU 2006 FORM SIX KIGOMA SEC, NA NILIKUWA NAISHI NAYE BWENI MOJA (COY B) YOTE ULIYOYAELEZA NI KWELI TUPU!

NA KWA FAIDA YA WENGINE NIKI ANABEBWA KWENYE MZIKI NA KAKA YAKE KWA SABABU TANGU TUNAINGIA KIGOMA SEC 2004 HAJAWAHI KUPEWA NAFASI YA KUIMBA HATA KWENYE DISCO VUMBI ZA SHULE ACHILIA MBALI KWENYE KUMBI KAMA BANGWE BEACH, KULIKUWA NA WASAANII KAMA DOGO MMOJA WA OLEVEL ALIKUWA ANAITWA mea alikuwa anatisha sana huyo dogo na niki kwa huyo dogo hafikii hata robo ya uwezo ws huyo dogo!

kulikuwepo na mwingine alikuwa anajiita GUNDU JINA LAKE BOAZ CHARLES(sasa hivi ana studio mwnz) anaye alikuwa mkali sana!

so niki was nobody pale kigoma sec! ELIMU ALIYONAYO NI PAPER ORIENTATED ILA KICHWA HAMNA KITU TOKA KITAMBO!
 
Last edited by a moderator:
Sure, unapohama you must have a logic unless utakuwa mzigo hata huko huendako.
 
Back
Top Bottom