Recent content by Mnomba

  1. M

    Kwanini wanakomalia laini kukatwa kodi?

    Uhalali wa kuwakilisha wananchi kigezo cha elimu kingehusika, haiwezekan kigezo mpaka Leo hii iwe std7 uingie bungeni kuwakilisha shahada na maPHD's...... Nchi ina bahari kubwa na misitu serikali haiwazi kiwekeza huko bali kila uchwao mwanachi no chanzo cha mapato.... Tuoneeni huruma jamanii...
  2. M

    Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Nilichopendea hii teuzi kuna watu wametoka Chini sana, yaani kwenye idara za chini huko na kulamba cheo. Hii inaitwa zamu yako ikifika utaitwa.
  3. M

    Ripoti Kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/23

    Report ya CAG sshv imekua kama taarifa ya FEMA, no one cares
  4. M

    Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

    Kuna jamaa(Hatufahamiani) aliazima yangu apige jamaa yake, sm imeita ghafla nasikia matusi ya nguoni nilistuka nikampokonya sm yangu, kwa hasira nikamuuliza kwann unatumia vibaya simu yangu... Jamaa alionekana na hasira sana akaondoka zake, kilichofatia aliniachia msala yule jamaa ambae alikua...
  5. M

    KERO Call Centre Utumishi ni kichomi

    Ishu ya huduma kwa wateja kwa Tanzania ni mbovu, sio serikalini tu. Yaani mteja hana thamani. Unashangaa kuna namba ya kuhudumia wateja lakin wateja wanabaki na kilio. Majuzi nilipiga sm kuulizia muamala ambao umekaa hewani zaidi ya siku 3, mtoa huduma anajibu kwa jazba 'Basi njoo Dar utapata...
  6. M

    Man United itamfukuza Ten Hag baada ya Fainali ya FA Cup

    Eti bila kujali matokeo ya fainali 😁😁😁😁😁 Kwani kuna matokeo mengine zaidi ya haya tunayoyajua?
  7. M

    Watu 11 wamepoteza maisha ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar, Morogoro

    OSHA walipita karibuni kukagua mazingira ya kazi? Hizi ajali huenda zikaleta majibu ambayo wengi hatukuraji
  8. M

    LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

    Mpiganaji ulingoni huchagua sehemu za kupiga, LHRC wamechagua kupiga kwa Osca wakati kila nyimbo mpya ya msanii inadhalilisha mwanamke na hayo mavazi yao sasa.
Back
Top Bottom