Msaada iwapo kuna mtu anewai kukutana na changamoto ya account yake kuwa either permanent restricted au temporary restricted nimefanya appeal za rangi zote ila bado wamenishikiria.
Bro!! Kwanza tambua mwanamke wako uyo sio mtu sahihi na wewe mwanamke anatakiwa awe submissive kwako kama ye hataki kuwa na utii na wewe withdraw mapema sana afu mwanamke ambe haishiwi manunguniko na wewe uyo kipere achana nae mtupe brother atakutesa sana haswa ukizingatia ni mshangazi akunaga...
Ukisikiliza vizuri Bunge zima la jana na waliojibu kuhusu press ya Gwaji boy utagundua kabisa kuwa watanzania tunafaa kulia sana kama wale ndio walioenda kutuwasilishia matatizo yetu ya kitaani pale mjengoni kwanza wameonesha hali ya kukosa Uwezo wa Kusikiliza(Listening Skills) kwa maana wao...
Nina Hard disk ya GB 500 imekuwa RAW ghafla na nikijaribu kuiformat inasema cant Format hata kwakutumia disk managment any other solution msaada plz [emoji1430][emoji1430][emoji1430]
Inahitajika receiver ya Sony DAV-DZ350 1000W yangu imezingua inawaka kitaa cheupe ktk screen tu na amna kitu inafanya baada ya apo au mwenye ujuzi ktk hili basi tuwasiliane kwa +255657900003. Niko Dar es salaam
Kama watumia android download app inaitwa facebook videos downloader ama kama watumia ios basi download app inaitwa download then utalogin fb kama kawaida na kisha baada ya apo utakuwa ukiplay izo video kwa kutumia izo app inakupa sehemu ya kudownload
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.