Recent content by Mnimbo

  1. Mnimbo

    Naomba kujuzwa kuhusu bookmakers (Wanaotengeneza na kuuza mikeka ya kubeti)

    Wale wakenya wanachofanya kwenye group za telegram wanafunga group admin pekee ndo anaweza post na pia ticket zao wana edit,ticket anayotoa na ya kwenye matokeo zinatofautiana
  2. Mnimbo

    Naomba kujuzwa kuhusu bookmakers (Wanaotengeneza na kuuza mikeka ya kubeti)

    Wengi ni matapeli kuna mshikaji bongo nilimcheck akaniuzia hizo fixed match ikawa uongo nilichofanya nilisubir siku ana hela M-PESA nikafanya reversal muamala wangu m sipendi ujinga.......
  3. Mnimbo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupieni jackpot ya betpawa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mnimbo

    MWENYE LINK YA KUUNGANISHA VODACOM UNIVERSITY OFFERS NA HALOTEL UNIVERSITY OFFERS ANISAIDIE.

    Kujiunga na UNI OFA kwa wanachuo pekee FUNGUA LINK na CROME Kisha share link hii kwa wanachuo wenzako chuoni kwako na chuo jirani http://bit.ly/vodacomtzuniofa
  5. Mnimbo

    Huu ni mti unaitwaje na unasaidia nini mwilini?

    Huu kwetu tunaita mvungwe na katika jamii yetu,vijana wengi wa kiume wanautumia kuongeza maumbile ya uume kwa kujikata chale uume na hayo matunda yake ambayo yanaitwa mavungwe.
  6. Mnimbo

    Toshiba laptop housing

    Habari, nina shida ya housing ya laptop aina ya Toshiba, niliangusha ikakatika lock za kushikia kioo ili kisimame Kwa mwenye nazo tuwasiliane 0744666669 0657666669 0688666669.
Back
Top Bottom