Recent content by mni

  1. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

    Unafanya research nini mbn umekomalia kunipa ushauri we jali yako bwana acha mimi nikapigwe
  2. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

    Nikivunjwa na wewe unavunjwa maana njia ni moja
  3. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

    Sawa subiri uone
  4. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

    Nami lazima nitoke tarehe 29 lazima kama kufa nife sio kwa maisha haya. Kwani kupigwa wamepigwa wangapi wewe mwenyewe unapigwa ila hujui 29 natoka kama kupigwa nipigwe tu
  5. mni

    JamiiForums Tanzania Samia kumuachia Lissu kama inavyoongelewa. Somo hili ni ushahidi

    Amen
  6. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

    Nipo tiar kwa maandamano
  7. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sababu za wanaompinga Dkt. Samia

    Hata sijasoma
  8. mni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan atunukiwa Nishani ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM)

    Tanzania nchi yangu
  9. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Kama ccm wanachangisha pesa za kampeni je chauma na Act wazalendo watayoa wapi pesa za kampeni
  10. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

  11. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Siwezi kufanya huo ujinga
  12. mni

    JamiiForums Tanzania Wahuni: They have done so much demage. Taifa limefubaa

    Ni hatari wahuni sio watu wazuri
  13. mni

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumsikiliza na kumwelewa Polepole wa Sasa tuwarejee Mapolepole wa awamu mbili zilizopita

    Kataa wahuni kwa sasa yaliopita achana nayo
  14. mni

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC mmejishtukia kuitwa Tume ya CCM hadi mkaamua kuondoa live ya tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu?

    Yaani sijui atatumia ushawishi gani kwashawishi wapiga kura kipindi cha kampeni
Back
Top Bottom