Tokea kuanza wa Kampeni za Uchaguzi,waandishi wengi wamekuwa wakivaa sare za wagombea wa vyama hususan CCM na Bodi ya waandishi wa Habari wala haisemi kitu Juu yao.
Waandishi ndiyo tumaini la wananchi kupata taarifa isiyo na upendeleo wowote naamini Bodi itatekeleza wajibu wake kushughulika nao hao
Ni ujinga wao waangalie na kusikiliza kama Kesi imeenda sawa sawa haya mambo ya kujifanya mnachukia kila mtu kwa kigezo cha kuwaona ni wa Serikali ni kujipunguzia ushirikiano wa kitaasisi
Julai nne baadhi ya wajumbe wa kamati ya Utendaji, Jumuiya ya Umoja wa wanawake wilaya ya Rufiji(UWT),walikamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa wilaya ya Rufiji.
Sababu ya kukamatwa na kuhojiwa kwao inaelezwa zilitokana na mmoja wa wagombea wa nafasi ya viti maalum...
Mbunge wa Mkuranga ambae pia ni waziri wa ujenzi,
Pesa hizi anazogawa hadharani kama njugu anazipata wapi?
Je ni dalili ya ufisadi, rushwa na wizi wa mali ya umma?
Mbona anajiamini sana katika kutapanya pesa. Baadhi ya vikao vyake anatangaza yeye ni kipenzi cha mamlaka hawezi fanywa kitu na...
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman, amesema Chama hicho hakitakubali aina yoyote ya hujuma zitakazosababisha kutangazwa kwa watu wasiochaguliwa kwa Kura za Wananchi kuwa wawakilishi wa Zanzibar katika vyombo mbalimbali vya maamuzi
Amesema kuna jitihada mbali mbali...
Na Mwandishi wetu Dar.
Mwenyekiti Mstaafu wa Serikali ya Mtaa wa Sangara Kata ya Msongola wilaya ya Ilala jijini Dar esSalaam,Pili Charles Ndimaye amejiunga na Chama Cha ACT Wazalendo baada ya kumaliza muda wake wa uongozi Oktoba 19 Mwaka huu.
Taarifa ya viongozi wa ACT Wazalendo Jimbo la...
Na Mwandishi wetu
WAKAZI wa Mchinga mkoani Lindi wamewaonya viongozi wa ACT Wazalendo,iwapo watamchagua Hamidu Bobali kuwa mgombea Ubunge 2025, katika jimbo hilo, kuwa wataelekeza nguvu kwa wagombea wa vyama vingine kuhakikisha Bobali hapati nafasi ya kuwa mwakilishi wao.
Wakizungumza na...
Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI):
Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo.
Akiwa mwangalizi kwa...
Takriban wiki mbili sasa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Tundu Lissu amekuwa akizunguka na kutoa tuhuma za rushwa zinazoendelea katika uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.
Lissu ameenda mbali zaidi nankudai baada ya kutuhumu suala la rushwa,baadhi ya wanachama wenye ukaribu na viongozi wa juu...
Sintofahamu ukiendelea baina ya viongozi wa Chadema Kwa pande mbili za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho juu ya nani anastahiki kuwania Urais 2025,baadhi ya wapambe wa viongozi hao nao wameongia na kuanza kutishana
Mmoja wa viongozi hao ni Godbles Lema ambaye amemtaka Lissu...
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii.
Kwa vyovyote vile Kwa umaarufi wa Malisa Polisi ni lazima watachukua tahadhari ya usalama wao na wake...
Nimefika katika kijiji Cha Chumbi kushuhudia athari za mafuriko katika maeneo hayo na namna wananchi wanavyohudumiwa.
Nimeangalia mazingira ya walipowekwa ni kama Serikali imefabya kuondoa lawama Kwa kuwa eneo la Kambi Mvua ikinyesha Bado maji yataingia ndani ya Kambi husika
Mazingira ya vyoo...
Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne wamejitokeza kuwania nafasi hiyo miongoni mwao akiwemo binti wa mwanasiasa mahiri na mwanadiplomasia...
India itaipiku Japan na Ujerumani, ikiwa ni nchi yenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi zaidi na mwelekeo wa idadi ya watu (ugavi thabiti wa kazi), kuboresha nguvu za kitaasisi na uboreshaji wa Utawala, mtafiti wa Global Jefferies alisema.
India 'itakuwa nchi ya tatu kwa uchumi duniani ifikapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.