Recent content by Mngoni Mrefu

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwenye kutaka kubadilishana kazi ualimu idara ya sekondari aje nachingwea, lindi nije mkoa wa rukwa au katavi simu: 0756168742
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mpya pita hapa upate madini

    daah! kweli kabisa ngoja na mimi niende tu huko nachingwea, lindi
  3. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    daah! nach nach tena! kwa nini mnapaita hivyo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Nitakucheki mida, ninapenda pia kujua upatikanaji wa huduma za kijamii umekaaje pale.
  5. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    asante
  6. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    kama kichwa kinavyojieleza, naomba kwa yule anaye ifahamu wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi anijuze kwani nimepata kazi ya kufundisha huko.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni mbunge tu CDM bwana

    Wamevaa tshirts za ACT mnasema chadema...... ALL IN ALL VIVAA CHADEMA Sio tshirts za ACT ni jezi za mbeya city FC si unajua tunduma ipo mkoani Mbeya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anaepajua wilaya ya Lushoto

    Kwani wewe haukuchagua mkoa wa Tanga?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

    Safi Sana Taratibu Nuru Inazidi Ig'arizia Tanzania;CHADEMA ni mpango wa Mungu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

    Inakatisha tamaa unapo mtumia sms naibu waziri tamisemi anayesimamia elimu kumuuliza ni lini wataajiri walimu wapya naye kujibu "bado mtajulishwa". Jibu la haraka haraka nalolipata ni kuwa naye hajui wataajiri walimu au bado sana ajira kutoka ndio maana hajataja mwezi gani watatoa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kinana na timu yake wawasili Monduli, walakiwa na umati mkubwa ukiongozwa na Edward Lowassa

    ccm haipo tena arusha mjini kana unabisha nenda ukashuhudie
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    Ajira zinatoka weekend hii walimu wenzangu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    niliambiwa kwa mikoa ambayo mazingira ya kufanyia kazi walimu wapya upewa kianzia maisha cha Tsh 400000 na kidogo, kwa mikoa yenye mazingira magumu ya kufanyia kazi {mikoa ya pembezoni; mtwara, lindi,ruvuma, kigoma, rukwa,katavi} kianzia maisha ni zaidi ya Tsh 600000
  14. M

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    ni uzuni ilioje kupoteza watu wengi kiasi hicho; taifa limepoteza nguvu kazi vile vile familia nyingine zimepoteza watu wanaowategemea
  15. M

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Yesu Kristu atuepushe na ajali kwani nyingi si uzembe bali ufalme wa giza unafanya yao
Back
Top Bottom