Inategemea na focus yako unapouangalia mpira wapo wanaosubiri kushangilia magoli,wapo wanaojifunza mbinu za timu,ubora wa wachezaji n.k .hili kundi la mwisho anaweza kuangalia akairudia mechi hata mara 3
Ubora wa mechi unachangiwa na vitu vingi mfano; intensity ya mechi,element of suprise,Level ya ushindani na ufundi,vibe la nje ya uwanja, mvuto wa wachezaji husika, n.k
kwa mtazamo wangu Hizi ni mechi bora zaidi world cup 2026
1. Brazil vs Morocco
surpsise kubwa ya kiwango bora cha Morocco...
Nyimbo ya dansi sikumbuki vizuri imeimbwa na bendi gani (nahisi tu ni daimond Sound) inaimbwa hivi
"Nashangaa na maneno yako umekuwa kigeugeu aah neema tunapopendana na wewe umenitamkia mwenyewe nakupenda japo huna kitu
Chorus " Neema kumbuka kupata ni majaliwa mapenzi sio mali wala kipato...
Katika albam ya Msondo ngoma Rabana ya 2000 kashiriki kaimba nyimbo zote mule
na kwa upekee nyimbo za Rabana na Chuma kikoli moto utunzi wa Suleiman Mwanyiro
Ni muhimu kufanya mazoezi anuai ili kuleta matokeo kwenye mwili mzima kabla ya kufocus na tumbo kwa maana mwili unapoteza fat kama single unit, kupunguza chakula ni muhimu zaidi
Wakati mwingine ni namna ya kuanza upya au ukuaji wa timu au huenda kocha akatamani kupiga hatua zaidi sitegemei Fadlu kukaa zaidi ya miaka miwili au mitatu
Nadhan alitaka kushikilia bomba kipindi cha kwanza angalau iwe bila bila then kipindi cha pili aje na mfumo wa back 3 kama suprise angeanza na huo mfumo mapema huenda angekuwa amewahi kucheza karata yake ya siri ,ila kama kocha unapanga lako ila hauwezi ku control kinachotokea uwanjani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.