Recent content by mngomo

  1. mngomo

    SoC02 Vijana na mnyororo wa thamani

    Hongera sana kazi nzuri sana
  2. mngomo

    Nina milioni 10 nahitaji kuagiza gari

    Hapa nchini nitafute gari gani? Na hapa naweza pata ambazo hazisumbui? Maana sio mzoefu na mambo ya magari
  3. mngomo

    Nina milioni 10 nahitaji kuagiza gari

    Naomba mwenye kujua ni gari gani kali yenye sifa hizi naweza pata kwa pesa hiyo? 1. Muonekano (iwe na mvuto kwa macho) 2. Economy (ulaji wa mafuta) 3. Space (iwe na nafasi) 4. Yakuendeshwa na kijana wa kileo 5. Upatikanaji wa spare.
  4. mngomo

    Nawezaje pata kitabu cha kivuli kinaishi online?

    Kama ambavyo nimeuliza hapo juu nina uhitaji mkubwa wa kitabu hiki. Nilikisoma juu juu tu nilipo shule lakini sasa naona kuna haja ya kukirudia tena na tena nahisi huyu mwandishi aliandika hiki kitabu zama hizi lakini kilichapishwa zama zile.
  5. mngomo

    Viwanja vya makazi na biashara vinapatikana mkuranga vikindu karibu kabisa na chuo cha saint agustin

    Biashara ya vitu kama hivyo Unawezaje kutaja bei wakati swala la makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi? Maelezo yakutosha ni Wapi maeneo hayo yapo fulsa zilizopo zimeelezwa kwenye maelezo ya msingi. Sasa zaidi ya hapo Ukiwa umeona kuwa ni fulsa kwako basi utatafuta namna ya kufafanuliwa zaidi...
  6. mngomo

    Viwanja vya makazi na biashara vinapatikana mkuranga vikindu karibu kabisa na chuo cha saint agustin

    Viwanja hivi vipo umbali usiozid kilomita 3 toka barabara kuu ya kilwa. Maeneo viwanja vilipo ni vikindu mkuranga.karibu kabisa na kinapojengwa Chuo kikubwa cha st Augustin. Kwa wasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba 0713189336 0625550306 0687800681 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mngomo

    VAT kwenye Utalii, ni ushahidi tosha Serikali yetu iko sawa kwenye kila kitu!

    Jina la mtoa post lenyewe tu linanipa mashaka na uwezo wake.
  8. mngomo

    Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

    Kunavitu watu wanaongea kama sijui wanatumia akili za usiku.Leo tupime mtu kwa utendaji na sio CV kunasababu gani za kuwa na vyeti? Ni ujinga kutetea hili kwani unapozungumzia CV za mtu zinahusisha na utendaji ndani yake lakini tutampimaje mtu kwa maneno yake tu? Maana hata hayo matendo mengi...
  9. mngomo

    Miezi 15 hakuna Tangible issues kazifanikisha zaidi ya mporomoko wa Uchumi

    Mtu Kasema kutokana na mtazamo wake. Wew kama unahoja yenye mashiko tuambie amefanya hivi amefanya vile ni simple mbona ila sio kutuambia jumla jumla tu amefanya vitu ni vitu gani?
Back
Top Bottom