Recent content by Mndwyika.wetu

  1. M

    Makanisa ya kilokole

    Ndio nakubaliana na wewe. Lakini hiyohiyo katiba inaipa mamlaka serikali iliyoko madarakani haki ya kulinda maisha ya watu na mali zao.
  2. M

    Makanisa ya kilokole

    Inabidi serikali iregulate haya makanisa. Infact sio makanisa ni Culty. Watu wanakua maskini kwa kupeleka hela zao zote. Watu wanakufa kwa kuacha dawa zao za hospitali na kuamini maombi yatawaponya.
  3. M

    Makanisa ya kilokole

    Kwa hiyo wewe unaona ni sawa huyu mhubiri kuwahubiria watu wafunge mpaka kufa ili wamwone Yesu, wakati yeye anakula kwa siri. Dini zimetumika vibaya kurudisha nyuma maendeleo ya Africa
  4. M

    Makanisa ya kilokole

    Haya makanisa yetu ya lilokole hapa TZ, yana tofauti gani na kanisa la huyo Paul Mackenzie wa Kenya. Yule aliyesababisha watu kufariki Moshi kwa ajili ya kukanyaga mafuta alichukuliwa hatua gani?
  5. M

    Waafrika ni wanafiki sana

    Waafrika ni wanafiki sana na ndio maana wakoloni walitutawala kirahisi na kituuza utumwani. Yanayotikea Belarus leo, viongozi wengi wa nchi jirani wanakemea na kutaka uchaguzi huru na haki ufanyike na maamuzi ya wananchi walio wengi yaheshimiwe. Tuje hapa Afrika bara la wanafiki, kiongozi...
  6. M

    Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    https://www.inquirer./health/coronavirus/coronavirus-covid19-cardiac-arrest-irregular-heart-rhythm-penn-medicine-20200622.html
  7. M

    Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

    Toeni data za COVID19 , dunia nzima inafanya hivyo kwa nini sisi???
  8. M

    Hadi sasa wageni 182 wamegunduliwa na Corona kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya. Visa vyafikia 963

    Kama hivi vipimo vya Covid19 vya Kenya huko Namamga vinasema kweli, basi hali ya maambukizi hapa Tanzania ni mbaya sana kuliko tunavyoaminishwa.
  9. M

    Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Weka data hapa kuonyesha yamepungua, mmepima wangapi? Wamekufa wangapi? wamepona wangap? Bila hizi data hiyo ni illusion tu.
  10. M

    Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

    Huyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
Back
Top Bottom