Hadi sasa wageni 182 wamegunduliwa na Corona kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya. Visa vyafikia 963

Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
7,047
2,000
Kwanini sisi hatupimi? Tuliambiwa marekebisho ya Maabara yanafanyika, je yanafanyika hadi lini? Au ndiyo imeshatoka kwamba Tanzania hakutakuwa na TESTING tena na ndiyo tunaaminishwa kwamba Mungu kasikia sala zetu hivyo corona imepungua sana au TUMESHAISHINDA!?
Je hivyo vipimo vipo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

jigwam

JF-Expert Member
Jul 5, 2014
591
500
Issue siyo kupimwa...issue ni ajenda yenu ya kuichafua Tanzania kwa lengo la faida za kiuchumi ikiwemo kuua utalii...Sasa mtakula jeuri na unyang'au wenu...lazima mfyate mikia yenu mirefu..you will regret...tumeona clip za wananchi ambao wako lockdown huko kwenu..wanalalamika kuhusu chakula...wengine wanasema chakula mnagawa usiku...bila Shaka wewe huna shida ya chakula..unapata ili uwe na nguvu kuendesha propaganda mitandaoni against TZ ...but your fellow Kenyans are dying ..it is.just a matter of time hizo riots zihamie mitaani...mtajuta...JPM siyo JK..Mtaipata...ambassador wenu ameleta ujumbe huku...lazima mpige magoti huku mikia yenu mmeifyata....You are talking of poverty in Tanzania and you forget your poverty...uliwahi kuona wapi TZ kuna nyumba za mabox Kama kwenu kibera etc?
.
Hatuna nyumba zamabox huku kama kibera,waache waendelee na lockdown.SIE tumeshafungua anga huku TZ
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,566
2,000
Pliz educate me the meaning of blinking. What the ambassador did was to make it clear to all Tz coz what was being reported is Kenya has closed borders with Tz which wasn't the case. 2ndly see the way we are tackling issues very professional and diplomatic but for u guys even the president they are making roadside declaration.......it defeats the mind
You don't know what it means by blinking...and you are tackling issues very professional and diplomatic...very interesting...Go on ...We don't care...we know your hidden agenda...Endeleeni kusema kwa Wasomali na siyo TZ..
 
Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,313
2,000
Pliz educate me the meaning of blinking. What the ambassador did was to make it clear to all Tz coz what was being reported is Kenya has closed borders with Tz which wasn't the case. 2ndly see the way we are tackling issues very professional and diplomatic but for u guys even the president they are making roadside declaration.......it defeats the mind
"New member" Aisee hivi mliona tanzania ni nchi ya wanjinga? Hakuna nchi ya EAC imefunga mpaka na Tz, Ni Kenya pekee..Migizo ina shushwa mpakani na madereva wa Tz, Mchukue hapo shida IPO wapi?
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,057
2,000
Issue siyo kupimwa...issue ni ajenda yenu ya kuichafua Tanzania kwa lengo la faida za kiuchumi ikiwemo kuua utalii...Sasa mtakula jeuri na unyang'au wenu...lazima mfyate mikia yenu mirefu..you will regret...tumeona clip za wananchi ambao wako lockdown huko kwenu..wanalalamika kuhusu chakula...wengine wanasema chakula mnagawa usiku...bila Shaka wewe huna shida ya chakula..unapata ili uwe na nguvu kuendesha propaganda mitandaoni against TZ ...but your fellow Kenyans are dying ..it is.just a matter of time hizo riots zihamie mitaani...mtajuta...JPM siyo JK..Mtaipata...ambassador wenu ameleta ujumbe huku...lazima mpige magoti huku mikia yenu mmeifyata....You are talking of poverty in Tanzania and you forget your poverty...uliwahi kuona wapi TZ kuna nyumba za mabox Kama kwenu kibera etc?
.

Hizi insha mnaandika sijui za faida gani, mkae mkijua kila jirani yenu ameweka sheria lazima mpimwe, hamuingii mtakavyo, ndivyo ilivyo na ndiyo itakavyokua hadi siku mtadhihirisha kweli kirusi hakipo kwenu na sio hadithi za mapaipai...
 
blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
5,467
2,000
Magufuli agiza hao madereva wapimwe mara tu wanaporejeshwa huko Kenya.

Kwanini linachukua muda wote huu.
!??

We are not serious
 
blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
5,467
2,000
Kama Vifaa tunavyo vya kupima covid-19 kwanini tusiwapime wanaojiandaa kuvuka mipaka yetu kabla hawajafika huko. 'from behind-the-scenes, we do not have covid-19 testing Gadgets on our borders'
MaCCM njooni mjibu hoja hii..!!
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,566
2,000
Hizi insha mnaandika sijui za faida gani, mkae mkijua kila jirani yenu ameweka sheria lazima mpimwe, hamuingii mtakavyo, ndivyo ilivyo na ndiyo itakavyokua hadi siku mtadhihirisha kweli kirusi hakipo kwenu na sio hadithi za mapaipai...
Nina hakika hao walalahoi walioko lockdown wakikutambua wewe MK254 lazima wakupige kwa mawe
 
Karungikana

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
512
500
Ila watanzania bwana; hivi kweli mnashabikia ujinga unaoendelea hapa kwa jinsi mlivyo-handle COVID-19 kijinga! Hamuoni hata aibu? Nyamazeni tu maana kweli tunatia aibua dunia nzima, na wacha tusemwe tu! Shame!
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,057
2,000
Pliz educate me the meaning of blinking. What the ambassador did was to make it clear to all Tz coz what was being reported is Kenya has closed borders with Tz which wasn't the case. 2ndly see the way we are tackling issues very professional and diplomatic but for u guys even the president they are making roadside declaration.......it defeats the mind

Kenya has never and will not close border with any of our neighboring countries, we have made it clear that no one is allowed into the country without going through mandatory examination to ascertain if they are fit to walk on our streets and won't infect us with any ailment, be it corona or otherwise.
This rule will be applied to each and everyone including our own countrymen returning back to the nation.
So your dirvers and citizens crying foul for being subjected to this rule will and must go through the procedure and whole process, NO EXCEPTION.... no amount of undugu wala blinking wala sijui vitu gani, lazima mpimwe...mpimwe na mpimwe.
 
mzalendoalltz

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
799
1,000
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.

Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.

Sasa si mmefunga mipaka? Endeleeni na hizo cooked data zenu za kihuni mnakuta wagonjwa 70 na kat yao mnasema 50 ni wtz najua kenya mmeathirika kwa kiwango kikubwa sana lakini kwa kutaka kuwachafulia wenzenu mnatuuzia wagonjwa. Baada ya kufunga utasikia wanasema wagonjwa wamepungua, si tuko hapa?

Kilichopo kw sasa na long run ni kuongeza viwanda kureplace bidhaa tunazoingiza na automatically tutajiuzia raw materials wenyewe na hapo tutakuwa tumeyaweza haya manyangau
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
7,234
2,000
Magufuli agiza hao madereva wapimwe mara tu wanaporejeshwa huko Kenya.

Kwanini linachukua muda wote huu.
!??

We are not serious
Magufuli alishasema vipimo vyetu hapa Tz huenda vinachakachua majibu.

Suluhisho hapo ni kuamini vipimo vya Kenya tu.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,057
2,000
Sasa si mmefunga mipaka? Endeleeni na hizo cooked data zenu za kihuni mnakuta wagonjwa 70 na kat yao mnasema 50 ni wtz najua kenya mmeathirika kwa kiwango kikubwa sana lakini kwa kutaka kuwachafulia wenzenu mnatuuzia wagonjwa. Baada ya kufunga utasikia wanasema wagonjwa wamepungua, si tuko hapa?

Kilichopo kw sasa na long run ni kuongeza viwanda kureplace bidhaa tunazoingiza na automatically tutajiuzia raw materials wenyewe na hapo tutakuwa tumeyaweza haya manyangau

Kwa hivyo huko mnatajwa Zambia, Rwanda, Uganda n.k. wanawachafulia??? Acheni uzembe na kujichokea, pambaneni na hiki kirusi, haya makelele hayatapunguza corona.
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,447
2,000
Jamaa wanataka kuingia Kenya ila hawataki kupimwa, hizo ni ndoto za mchana. Tena ukipimwa upatikane una COVID-19 hauruhusiwi kuingia nchini Kenya. Hizo injili zao za kusema kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo wazihubiri hukooo, mbali na mpaka wa Kenya.
 
Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
648
1,000
Kama hivi vipimo vya Covid19 vya Kenya huko Namamga vinasema kweli, basi hali ya maambukizi hapa Tanzania ni mbaya sana kuliko tunavyoaminishwa.
 
mzalendoalltz

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
799
1,000
Kwa hivyo huko mnatajwa Zambia, Rwanda, Uganda n.k. wanawachafulia??? Acheni uzembe na kujichokea, pambaneni na hiki kirusi, haya makelele hayatapunguza corona.

Tunapambana sana Brother, Sisi hii corona mbona tuna dawa yetu ya mitishamba? Nina ndugu yangu kapat Corona na ameshapona kitambo kwa kunywa hiyo dawa
 
mzalendoalltz

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
799
1,000
Jamaa wanataka kuingia Kenya ila hawataki kupimwa, hizo ni ndoto za mchana. Tena ukipimwa upatikane una COVID-19 hauruhusiwi kuingia nchini Kenya. Hizo injili zao za kusema kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo wazihubiri hukooo, mbali na mpaka wa Kenya.

Si mmetuzuia? tutaona kama maambukizi hayataendelea. Kupima si agenda kuu agenda kuu ni kujihadhari na kunywa dawa yetu ya kienyeji. Lockdown na kupima is nothing, unampima mtu akienda hatua kumi anao, ama lockdown unatengeneza vibaka wa mtaani, na ukimfungia mtu mwenye Corona ataiambikiza familia yote na hapo ndipo maambukizi yanaongezeka
 
Millitarydoctor

Senior Member
Sep 20, 2019
165
250
Sasa kama wakiwa Tanzania hawana corona basi wabaki huko huko acheni kulazimishia waingie kwenye nchi za watu, majirani zenu wote wamegoma hakuna kuingia kwao bila kupimwa, kama corona inaonekana tu wakithubutu kuingia kwenye nchi za watu, basi waache kiherehere wabaki kwao.
Mngekua mnabaki kwenu wala hakuna mtu angewasema kitu, tungewaacha mjifie au mpone kama mtoto wa rais wenu ambaye tunaskia anapiga push up ikulu baada ya kupona corona.
Fikeni kwenye mpaka mpkeze malori yapulizwe dawa na kuingizwa ndani na madereva wetu, mtupiane funguo zioshwe kabisa basi, wala hutaskia neno.
Naona vita ya maneno imekua kubwa, wanaume huwa tunapenda vitendo, anzisheni basi, tuone Kama mtamaliza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom