Umeshaona eeeh. Vifaa vya tume ya uchaguzi vitacheleweshwa makusudi ili ifikapo april kura ya maoni isiwepo. Lakini hawatakwepa dharuba hii hata waahirishe tufanye baada ya uchaguzi mkuu. Tena kipindi hicho ndio mbaya zaidi.
Inawezekana walengwa hawakuiona ila imeonekana leo. Sio ajabu. Ila historia ys jamii forum inaendelea kujiandika hakuna thread ambayo haina mjadala hata baada ya miaka 5
posho yao kwa mwezi ni shs 250,000. Posho ya vikao ni shs kati ya 40,000 mpaka 80,0000 kutegemea na halmashauri kwani inategemea mapato ya halmashauri husika
Mkuu tembelea Manispaa ya Moshi ndio utajua kweli CHADEMA wanafanya kazi ndani ya Halmashauri yao.Kwa muda wa miaka mitatu tu wamepandisha mapato yao toka bn 1.7 ilyokuwa inakusanywa na ccm hadi Shs b 5.0 mwaka ujao wa fedha.Wamerudishia barabara asilimia 60 ya barabara za lami mpaka sasa.Kwa...
We ndo unazeeka vibaya ila sijui umri wako.Inawezekana kabisa analosema Dr Slaa.Ili kuongaza ajira tunatakiwa kuanzisha viwanda vya kutengeneza nyuzi kutokana na pamba na nyuzi hizo zitengeneze vitambaa na kuuza nje kama nyuzi au vitambaa.Vivyo hivyo kwa Tanzanite tuwe na kiwanda cha kusafisha...
Mkuu taarifa yako inatia shaka kidogo.Siku alipokuwa na sherehe hiyo Mh Philemon Ndesamburo alikuwa Moshi.Au yawezekana mtu kuoneana seemu mbili tofuti kwa wakati mmoja?
Ndugu wana JF,
Katika manispaa ya Moshi katika kata ya Kiborloni kutakuwa na uchaguzi mdogo baada ya Diwani wa kata hiyo ambaye pia alikuwa Naibu Meya wa Manispaa Bwana Vicent Rimoy kufariki.Uchaguzi huo utafanyika tarehe 9-2-2014.
Inavyoelekea mpaka sasa CCM wameelemewa kiasi cha kukosa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.