Recent content by Mndengereko One

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maembe ya kisasa

    zile nailoni za kuunganishia miche ya miembe naweza kuzipata wapi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

    daaa ndugu wewe acha tu leo nimeanza pep baada ya mwezi kutaleta matokeo ila hii hali usikie kwa mwenzako tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

    hii mada inanitia wazimu nimeruka na manzi mmoja nilikutana naye kama mara mbili tunapotezana leo tumeona nikashtuka kimoja nikakumbuka na vipimo kumpinga imo nikamzuga hivi vime expire twende zahanati kupima imo kesho nampelekea akaanza dawa mm natakiwa nikapewa leo ila hiyo kesho naona...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya India na Pakistan inayoendelea hivi leo katika eneo la Kashmir

    kwahyo ww ndo umejiona una akili hapokuwa taifa Moja kabla sio sababu umbali uliopo Leo hii Tanzania ikitoka vipande vitatu Mwanza na mtwara kuwa nchi Moja ngumu kutokana katikati Kuna ncho ya Dodoma na ndo mdau alichotaka kueleweshw ilikuwaje wakawa nchi Moja na umbali ulishawatenganisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya India na Pakistan inayoendelea hivi leo katika eneo la Kashmir

    lakini alichouliza mdau tofauti na mfano uliotoa Gaza na westbank mwanzo zilikuwa zimeungana kabla ya muisrael kutwaa maeneo na kuzitenganisha mipaka inayo tambuliwa na umoja wa mataifa zimeungana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kiungo Novatus Miroshi amefaulu kupata namba ya kudumu kwenye timu yake na leo kafunga tena

    kabla ya kuwa mejerui alikuwa anacheza na alivyopona anazidi kupata nafasi na anagoli tatu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

    35
  8. M

    JamiiForums Tanzania Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

    ikwiriri inazidi kukua sasa hivi lami mpaka mitaani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

    mm niko dar
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

    ndugu nilirudi hospital nilienda kitengule nikapiga x ray uti wa mgongo una shida umepinda na kuna pingili zimeachana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

    Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Jf imepoeza ubora wake watoto wengi siku hizi matusi yamekuwa mengi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magomeni Mwembe Chai inafanana na Morogoro?

    Pwani hii ambayo wandengereko tupo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Njia ya kudhibiti kunguru wananirudisha nyuma

    Nyavu ipi uliyozungushia
Back
Top Bottom