OKOA 50% YA GHARAMA ZA MALISHO KWA KUTUMIA HYDROPONIC FODDER
Imethibitika kwamba unaweza kupunguza gharama za malisho ya mifugo( kuku, sungura, ngombe, mbuzi, kondoo), kwa kutumia hii sayansi
Hydroponic Fodder ni mmea wenye wingi wa virutubisho unaozalishwa kwa siku 5-7, kwenye trey maalumu...