INAUZWA Tunauza incubators kwa bei rafiki

Mnazi kuyumba

New Member
Jun 7, 2013
4
37
Week hii natoa ofa ya incubator ya mayai 56 kwa wafugaji 10 wadogo.kwa Bei ya 300,000/=Tsh.

✓Inatumia umeme/betri la gari na solar .
✓Inajiendesha yenyewe.
✓ Inauwezo wa kuangua zaidi ya 97%.
✓Inatunza joto masaa matano pindi umeme ukikatika.
✓Inaprogramu rahisi sana hivyo ni rahisi kila mfugaji kuitumia.
✓Inakuja na warranty ya mwaka mmoja.
✓Utapewa ushirikiano wakutosha Hadi uweze kujitegemea katika mradi wako.
✓utapatiwa ofa ya mayai ya kuanzia kutotoleshea aina ya kroiler.

MAWASILIANO
0762212623


Tunatuma bidhaa zetu mikoani Kote kwa uaminifu mkubwa.

 

Attachments

  • MAPINDUZI YA UCHUMI NA KILIMO CHA MBOGA MBOGA na MATUMDA.pdf
    1.2 MB · Views: 19
Back
Top Bottom