Recent content by Mnandi Jr

  1. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Nani kumrithi E. NCHIMBI?

    🤣🤣
  2. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Nani kumrithi E. NCHIMBI?

    Salam. nani kumrithi nchimbi? Je ni januari makamba? Au ni dotto biteko? je ni palamagamba kabudi au ni poul makonda? isije ikawa ni mwigulu nchemba! Au ridhiwani kikwete? amani iwe nanyi..
  3. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Mwana JF alieko mikese-morogoro.

    Umeenda mbali kiongozi,
  4. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Mwana JF alieko mikese-morogoro.

    Umeenda mbali kiongozi,
  5. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Mwana JF alieko mikese-morogoro.

    Salam wakuu. Hongereni kwa kuendelea kuidumisha JF, Nimekua nje ya jf kwa muda kidogo, ila hv karibuni nitarejea rasmi. Lengo la uzi, ni kua ikiwa kuna mwana JF yupo morogoro maeneo ya mikese tuchekiane anipe location walau tupate viwili vitatu, nipo hapa tangu wiki iliyopita bado sijayajua...
  6. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania ROMA CATHOLIC INA MPAKA MAFUVU YA MASHAIDI WA KALE NYIE WASABATO MNA NINI?

    Hawana utofauti na waabudu mizimu
  7. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    Ukiacha mengine, na kaudini nako kanachangia😜
  8. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro. Wuko Mbezi Magufuli bus teminal

    Tiketi tunazo mkuu, na muda wa tiketi unaonyesha saa saba na nusu
  9. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro. Wuko Mbezi Magufuli bus teminal

    Salam wakuu. Tuko Mbezi Magufuli bus teminal, Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro, Tumeambiwa gari inakuja saa nane mchana, mpaka mda huu saa kumi na mbili jioni gari hakuna, Wahudumu waliokata tiketi hawatoi majibu ya kueleweka. Na wote wameondoka hapa hatujui...
  10. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Aliyekatazwa asicheze na mimi utotoni, leo anashangaa maisha ninayoishi. Tatizo halikuwa mimi, bali namna alivyolelewa

    Kinachotakiwa nikumlea "mtoto katika njia impasayo". Kumuweka mtoto geti kali sio sawa, pia kumpa uhuru zaidi wa kufanya kila anachojiskia sio sawa
  11. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kukata tamaa kuwa siingii JF tena halafu zikapita siku 3 au 4 ukarudi mwenyewe bila kuombwa?

    Kuichukulia jf sirius ni kutafuta stres
  12. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Anza kuwa na mtetemo⚡ ndani yako kisha vuta kitu kuja kwako

    Kazi nzuri, ni ushauri tu mkuu, kama ratiba zako zinaruhusu ungekua unaweka nyuzi za aina hii kila siku, au hata mara moja kwa wiki. Unaweza ukaona watu wachache wamekomenti postive wengi wakawa negative, hiyo isikuvunje moyo, tupo tunaonufaika. Na pengine ukaja kupata matunda kwa kazi yako njema.
  13. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Ni member yupi mpya unaona ana trend sana JF

    Zama hizo nikiwa bado mjinga mjinga, nilijua watu wote wanaojiunga jf ni wenye akili timamu sasa ndio naona kumbe ni kinyume chake.
Back
Top Bottom