Recent content by Mnambua

  1. M

    Uchaguzi 2020 Malalamiko ya kura za maoni za uteuzi jimbo la Iramba umesababishwa na Dkt. Mwigulu

    Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa. Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
  2. M

    Nakumbuka Mtani wangu alilalama kumpikia chai Nchimbi akakimbilia CHADEMA

    Inawezekana kabisa! Ila eti kaongoza kura za maoni huko Tarime Vijijini!
  3. M

    Uchaguzi 2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

    Akili ndogo siku zote hazifikirii kamwe! Tundu Lissu alisema "Wakiibiwa kura wataingia barabarani, sio kuwa wakishindwa uchaguzi". Mbona mnapenda kuwawekea watu maneno midomoni? Faki Yuu Meni!
  4. M

    Uchaguzi 2020 Tuhuma za rushwa Dkt. Mwanjelwa zimekiaibisha chama

    Kwanza Mama mwenyewe huyo huwa mdhulumaji - kule Dodoma alimdhulumu rafiki yangu mmoja wakati anamsimamia ujenzi wa nyumba zake kwa kugoma kumlipa. Mbaya sana huyo mama!
  5. M

    Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

    Badala yake Lissu anatakiwa anene kwenye Kampeni kuwa FlyOver na SGR zikikamilika kama yeye akiingia madarakani ataziita Magufuli Flyover na Magufuli SGR! Itakuwa imetulia sana hiyo!
  6. M

    Uchaguzi 2020 Nitashangaa sana kama CCM watampitisha Dkt. Mwigulu Nchemba kwa madudu haya anayofanya Iramba

    Tunasubiri tu walete jina lake, madiwani wale ambao amehakikisha hawaongozi kura za maoni tutahakikisha wanahamia upinzani na kushawishi wapiga kura wao ama wamwondoe Dkt. Mwigulu au wampunguzie kura zake na pia kuhakikisha upinzani unapata madiwani Jimbo la Iramba. Tunasubiri juma moja tu mambo...
  7. M

    Uchaguzi 2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

    Humjui Lissu wewe kaka. WanaSingida tunamfahamu vizuri!
  8. M

    Uchaguzi 2020 Nitashangaa sana kama CCM watampitisha Dkt. Mwigulu Nchemba kwa madudu haya anayofanya Iramba

    Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt. Mwigulu Nchemba na pia jirani na Ulemo kijiji ambacho Dkt. Mwigulu Nchemba kajenga na ndipo...
Back
Top Bottom