Recent content by Mnambeu

  1. Mnambeu

    Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

    Kwani Tanga unaishi barabara ya ngapi vile?
  2. Mnambeu

    Chumvi ya SEA SALT Hatari kwa Afya- Meneja wa Kiwanda Akamatwa

    Hapa tumlaumu nani? Wananchi wenyewe hawana elimu ya kutosha ukichangia na umasikini kila mmoja wapo anatafuta zaidi unafuu afya baadaye. Na ni kwa mambo mengi yanayotuzunguka hatuna ulinzi nayo.
  3. Mnambeu

    Prof. Kitila ushauri wako kwa Zitto utampotosha tena

    Chukua kioo ujiangalie sura yako inafanana na nani?
  4. Mnambeu

    Uhamiaji: Mwenye ushahidi wa rushwa ya ajira 200 aulete

    Huyo Irovya anataka kujisafisha tu tangu lini kesi ya ndedere ukaipeleka kwa nyani aunde tume huru aone vimbwanga na unawezakuta naye yumo. Teh teh teh.....
  5. Mnambeu

    Basi la Air Bus kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora limepata ajali

    Ajali imetokea maeneo ya Kiegea karibu na Gairo.
  6. Mnambeu

    Kiongozi wa mwenge afichua siri nzito kuhusu kifo cha Sokoine

    You need to have two things: Simple living and High thinking
  7. Mnambeu

    Nitumie usafiri gani Dar es Salaam kwenda Mpanda

    Kuna jamaa yupo bungeni anawakilisha mwambie akupe ungo ni dk tu
  8. Mnambeu

    Majina 5 ya wanaCCM yatakayopendekezwa na Kamati Kuu kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe wa NEC

    Jina la tano mbona lajulikana au unataka kucheza na akili za watu. Huyo c mwingine ENL
  9. Mnambeu

    Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

    Weka namba humu kila anayetaka awezekupata usiwe mchoyo
  10. Mnambeu

    Nauza Mbao.

    Sawa lazima uweke na description ya hizo mbao kama vile treated mninga mpodo urefu na wapi wapatikana bei zake nk tujifunze kuwa wafanyabiashara makini
  11. Mnambeu

    Maduka makubwa Supermarket kukosa chenji ni wizi

    Wana jamvi. Mimi naona haya maduka makubwa yamezidi kutuibia chenji zetu pindi tunapolipia bidhaa tunazohitaji. Nimekua nafuatilia kila mara ninunuapo bidhaa utakuta bei zimewekwa kwa staili ambayo ni matumaini ya wengi hawagundui kuibiwa. Bidhaa nyingi huwa zinaishia na sent mfano kuku...
  12. Mnambeu

    Maduka makubwa Supermarket kukosa chenji ni wizi

    Wana jamvi. MImI naona haya maduka makubwa yamezidi kutuibia chenji zetu pindi tunapolipia bidhaa tunazohitaji. Nimekua nafuatilia kila mara ninunuapo bidhaa utakuta bei zimewekwa kwa staili ambayo ni matumaini ya wengi hawagundui kuibiwa. Bidhaa nyingi huwa zinaishia na sent mfano kuku broiler...
Back
Top Bottom