co kuitwa university of agriculture means wote wanasomea kilimo nooooo,mimi npo hapa na natarajia kuwa biotechnologist and laboratory scientist ha2lijui shamba mpaka sasa
Me nakumbuka 2livyokuwa golan(school) cku ya wal na nyama kuna jamaa 1 albeba wal wake akiendw dom kuula bas kuna jamaa mwngne akamgonga kwa baat mbaya bas ile saan yake ikadondoka na kujifunka chini,basi jamaa akamalizia 2 kumiminia mchuz palepale chini na akaanza kula mpaka anakalibia chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.