TBC1 ni kwanini mnaandaa vipindi ambavyo vinaipendelea CCM tu yaani kualika watu wenye mtazamo mmoja tu yaani kura ya ndio kwa katiba pendekezwa hii si haki kama mkiendelea kurusha vingelee ndani ya katiba hapo sawa lakini mkiendelea kuandaa vipindi vya kijadili basi muite pande zote mbili...
1.Mnahamasisha akina mama kua haki zao mmeziweka naomba muwambie ni haki gani mmeziweka ili tuikubali katiba ya wezi
2.Mnadai haki za wakulima zipo ni zipi tajeni ili tuzielewe na tuipigie kura katiba ya jambazi na muhujumu uchumi chenge
3.Haki za wachimbaji madini wakubwa na wadogo ni zipi...
ni muhimu kuwahubiria watanzania wote wajue ya kuwa katiba iliandikwa na akina chenge na genge lote la wezi yaan ccm waling'ang'ania iwe vile ili iwalinde kwenye wizi wao na ndicho kilichowafanya wamtukane mzee warioba na kudharau uzalendo wake.ccm ni lazima watambue ya kuwa katiba haiandikwi na...
Naomba mnijibu kwanini kila kukicha mnakuja na jambo jipya la kutaka kudhurumu haki za watanganyika.
1.Juzi amekuja mjumbe wa nyumba kumi akiwa ameagizwa na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya same ili akusanye fedha kwa ajili ya ujenzi wa maabara ambayo ni Tsh.5000 kwa kila kaya sikupinga...
sawa lina haki tumekubali haya mwambie sitta ataje majina ya wanaukawa waliopiga kura mbona kimya na idadi mtuambie imeongezeka vp hapo tutamaliza utata na kwanini aseme liwalo na liwe kama unaakili vizuri kichwani mwako acha ushabiki kwenye mambo muhimu tutaona kama hii katiba znz itapita...
Ndo hivyo mkuu njaa ndo inayotusumbua hatutaki mjitenge ili kila aina ya faida mnayotakiwa kuipata kimataifa ianze kwanza kwetu tuichakachue kuanzia misaada nk pia tunapenda kuishi kifalme kuhakikisha kila kiongozi aliyeko kwenye system anakua na matirioni ya pesa yeye na familia yake pia...
Hakuna mtu wa kuaminika ndani ya CCM hizo ni porojo tu hamna la maana kama kweli ana nia njema angeonesha kwa vitendo hatutaki siasa tunazidi kusota mtaani kwa sababu ya uozo wa CCM wamekaa kutuibia tu
Kwa mtazamo wangu mbowe na silaa bado wanatosha kuendelea kuongoza hapa ishu sio kulinganisha demokrasia ya nchi nyingine na tanzania ukweli ni kwamba nikijaribu kuangalia uongozi wa ccm na chadema viongozi ndani ya chadema wapo makini sana na wanamisimamo sana kwa ajili ya ustawi wa upinzani...
Kwa mtazamo wangu mbowe na silaa bado wanatosha kuendelea kuongoza hapa ishu sio kulinganisha demokrasia ya nchi nyingine na tanzania ukweli ni kwamba nikijaribu kuangalia
Ndio mana nikakwambia habari haijathibitishwa bado uchunguzi unaendelea na wamasai (wafugaji)waolikatwa ni sita na hayo Ndio madai yao wapo polisi mazishi ya huyo mzee yamefanyika leo kama mkuu huyo hahusiki kwann mwakilishi wake afukuzwe tuwe na subra vyombo vya dola vifanye uchunguzi huru usio...
Vita dhidi ya wakulima na wafugaji katika eneo la Ruvu wilayani same kuna habari ambazo hazijathibishwa kuwa mkuu wa mkoa kilimanjaro na mkuu wa wilaya ya same wanahusika.
Inasemekana wakuu hao walidhurumu sehemu ya ardhi kutoka kwa wakulima na hivyo wakuu hao walizungumza na wafugaji ili...
Lazima uelewe ya kuwa mtu mweupe akikupa tuzo manake anafurahi kuona unawaruhusu wao kuchuma rasilimali mfano mh. na ukipinga wasiibe rasilimali wewe kwao ni gaidi na mpinga demokrasia ya wizi wa mtu mweupe mfano.gadafi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.