katiba ya chenge na wezi wenzake(ccm) haikubariki

mnajimu

Member
Aug 27, 2014
13
0
ni muhimu kuwahubiria watanzania wote wajue ya kuwa katiba iliandikwa na akina chenge na genge lote la wezi yaan ccm waling'ang'ania iwe vile ili iwalinde kwenye wizi wao na ndicho kilichowafanya wamtukane mzee warioba na kudharau uzalendo wake.ccm ni lazima watambue ya kuwa katiba haiandikwi na watu wezi hata siku moja system yote imejaa rushwa na wizi kuanzia aliye juu hadi vimijusi vyote alafu anapita kuwalaghai watanzania waliompa lidhaa ya kuwaongoza eti waipigie kura ya ndio jamani katiba ya ccm haikubaliki ni lazima tujifunza kuunganisha matukio tuungane kwa pamoja kuikomboa tanganyika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom