Recent content by MNAFU

  1. MNAFU

    Web Development Special Class

    Poleni wafiwa wote na Pia wana if. Tutakukumbuka sana. RIP Msamiati.
  2. MNAFU

    Mabilioni yametengwa kumsafisha Lowassa ili aingie Ikulu

    Sikiliza ndugu yangu achana na propaganda Za Usalama wa Taifa ambao kwa bahati mbaya wanafanya kazi Za usalama wa CCM! Serikali ina vyombo kibao kuchunguza na kubaini Ukweli, kufungua Kesi Mahakamani n.k. Kupitia vyombo vyake Serikali ilitakiwa iwe imeishafanyia kazi hadi leo miaka zaidi ya 7...
  3. MNAFU

    Jinsi ya kuangalia tv programme kwenye simu ya adroid

    TV Za Bongo hakuna. Nimetafuta sikuzipata. Halafu nimeona hii kitu inakula bando taratibu kulinganisha na Kodi!
  4. MNAFU

    Taarifa ya Mahakama kuhusu Makala ya Gazeti la Mwananchi "Mtandao wa Rushwa Mahakamani"

    Ingawa mada ni tofauti lakini huwa nashangaa nikienda Mahakama Kuu: Yaani mnasubiria kuitwa Kwenye Kesi mko kama 100 Halafu wote mmesimama hakuna viti! Yaani hakuna utaratibu ni kelele tupu. Mawakili kelele mtindo mmoja! Yaani hakuna ustaarabu kabisa! Hivi nyingi Watu wa Mahakama hakuna Akili...
  5. MNAFU

    Flash kwa bei ya jumla

    Kwa hiyo acheni ugomvi mlionao tuendelee na lengo la "thread" hii. Nimeona kuna "thread" nyingine Pia mnatupiana maneno - si uungwana! Acheni!
  6. MNAFU

    Flash kwa bei ya jumla

    Kusema Ukweli Munawar hukufanya vizuri ktk post yako. Kwani ilikuwa ni lazima huyo Jamaa anunue kwako? Ukiongea na Mtu biashara fulani kama hajatoa Pesa na wewe kumpa bidhaa anabaki kuwa "prospect" tu - siku yoyote anaweza Nunua bidhaa hiyo toka kwako!
  7. MNAFU

    Jinsi ya kuangalia tv programme kwenye simu ya adroid

    Wakuu hii mobdro Iko vizuri sana!
  8. MNAFU

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Nimekuwa nikitumia KODI kwa muda sasa. Ila hii MOBDRO nami nimeikubali sana. Iko poa haina complications Hata kidogo!
  9. MNAFU

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Yaani inaudhi. Watu wanakuwa kama bendera? Upepo ukivuma hivi wanageukia huko, ukibadilika wanageukia huku. Kabla hujajiunga na Chama fulani Chukua muda kusoma KATIBA, ilani na machapisho ya vyama ili ujue misingi ya vyama hivyo na ndipo uchague unapoona panakufaa. Sio Mara leo CCM, Kesho...
  10. MNAFU

    Nmb app

    Umejaribu na kuona inafanya kazi au unaongea from theoretical point of view?
  11. MNAFU

    Nmb app

    Nimejaribu ku-login toka Simu nyingine imegoma. Sijui ni kwangu tu au ndo ilivyo. Hebu wadau jaribuni na nyinyi. Kama ni hivyo basi ki-security ni nzuri lakini sioni ubunifu wowote mpya! Ndo Ile nilisema ni NMB Mobile imrpatiwa GUI mpya basi.
  12. MNAFU

    Nmb app

    Nakubaliana nawe. Asilimia kubwa ya Wizi unaotokea huanzia kwa mtumiaji! Yaani wengine hata wakipigiwa Simu na matapeli wakaongeleshwa kidogo wanatoa mpaka pin (password) zao! Wanawaachia matapeli kuswap Simu zao na Kuhamisha Pesa. Security ikianza na mtumiaji (mteja) tunakuwa tumeondoa...
  13. MNAFU

    Nmb app

    NMB App ipo Kwenye play store na Mimi nishaanza kuitumia. Kimsingi sijaona kitu cha ajabu Labda naweza Sema ni NMB Mobile imepata Graphic User Interface ya kisasa! Kimsingi inategemea channel ambayo tayari ipo yaani NMB Mobile. Ili uitumie ni lazima uwe tayari umejiunga na NMB Mobile. Kumbuka...
  14. MNAFU

    Uhaba wa Mafuta ya petroli, Serikali imekanusha kuwa kuhusu mgomo

    Halafu EWURA wanatakiwa kujitizama upya. Walisifiwa wakalewa Sifa. Mawasiliano waliyoweka Kwenye website Yao hayafanyi kazi. Simu hazifanyi kazi na Hata email ukituma ina-bounce. Sasa wanapataje feedback Zetu? - mpaka uwafuate ofisini!!! Mambo hayo yamepitwa na Wakati!
Back
Top Bottom