Flash kwa bei ya jumla

Flash kwa bei ya jumla

Kwa hiyo acheni ugomvi mlionao tuendelee na lengo la "thread" hii.

Nimeona kuna "thread" nyingine Pia mnatupiana maneno - si uungwana! Acheni!
 
Ingekuwa mtu Anania ya kununua ingekuwa kashanunua tangu siku ile kwa sababu watu wengi waliweka namba !! Na bei anazotaka kuuziwa alitaja mwenyewe
 
Mnafu - yule mchunguzi ni mnafiki mkubwa !!! Sijamuuzia gari !!! Kuna maswali nimemuuliza , mbona kashindwa kujibu ??? Inabidi awaambie kampuni kashindwa Kazi

Yaani mnafiki siku ya kiama Kazi anayo !!! Motoni kubaya sana
 
Usiwe f*ala wewe, kwani lazima kununua kwako? we unamajibu ya shombo sana kitu ambacho wateja wengi hawapendi, ulimuandikia bei then chini yake ukampiga mkwara. Biashara zako za kihuni kafanyie Libya, sio Tanzania. Isitoshe wewe si mwaminifu, ni dalali kanjanja wa kwenye yard za watu. Taarifa zako zote tunazo, kwakuwa tunakaa kimya usijione ka ndio king wa jukwaa, ***** wewe.

Kulikoni MCHUNGUZI HURU!
Nini mbaya aiseeee...!?
 
Last edited by a moderator:
Mnafu - yule mchunguzi ni mnafiki mkubwa !!! Sijamuuzia gari !!! Kuna maswali nimemuuliza , mbona kashindwa kujibu ??? Inabidi awaambie kampuni kashindwa Kazi

Yaani mnafiki siku ya kiama Kazi anayo !!! Motoni kubaya sana

Punguza povu usije tokwa na maneno yasio paswa kusikiwa na jukwaa zima Munawar, hapa jf kuna kila aina ya khadhia.
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa ni mnafiki , huo ni ukweli !!! Sijawahi kumuuzia gari yoyote !!!! Mimi nikimuuzia MTU gari , we usually sign a contract !!! Namruhusu huyo mnafiki arushe picha ya mkataba !!!


Huyo jamaa hata hanijui !! Hajui ofisi yangu ilipo , na hajawahi kuniona !!! Huyo ametumwa !!! Jamaa muongo sana !!!!

NB : hakuna anayeweza kuniangusha au kunipeleka juu kwenye biashara isipokuwa Mwenyezi Mungu !!!!

Kwa hiyo inabidi akawaambie waliyemtuma kuniharibia jina kuwa kwa Munawar ameshindwa na watafute mbinu nyingine !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom