Mimi naamini yupo sahihi kwasababu hata Rostam alishawahi kulizungumza "mahakama za simu" kwamba simu moja tu inapigwa kwa hakimu au jaji anaelezwa fanya hivi
Kwahiyo mkuu kama nilivyoeleza hapo juu huyo binti ni mpwawangu kamaliza kidato cha nne na matamanio yake ni awe mwanajeshi au polisi ...
sasa mimi ni mgeni mno na mambo hayo japo ninajua ukweli kabisa hamna msaada wa bure ,,, ndio nikatenga kiasi ili kukamilisha hilo
hivi unanishauri kitu gani...
Kwa huyo binti ajira ya serikali ni kitu muhimu mno kwake kwasababu kujiajiri ni jambo gumu mno...mimi nipo kwenye sekta binafsi kwahiyo mpaka unaona nipo tayari niitoe hiyo pesa ili apate hiyo nafasi sio kwamba siyajui hayo mkuu
Hicho kiasi kimetengwa ili mradi huyo binti apate hiyo ajira kwahiyo kikubwa ni kwamba apatikane mwenye uhakika wa kulisimamia hilo hadi jambo lifanikiwe ...najua ni kiasi kingi ila lengo nimtimizie Hitaji la moyo wake japo sijui Kuna hatua ngapi za kupita hadi kuja kuajiriwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.