Recent content by MNA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

    Ngoja ni-nene nliyojifunza hapa kwa faida ya wengine sharing is caring. 1. Dukani pawe na software nzuri yenye maingizo/mauzo/stock kifupi moments zote za dukani ziwe systematically. 2. Tenga muda, au weka mkakati au utaratibu wa kufungua box uangalie kilichomo ndani (Fanya randomly) na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

    Duuh aisee pole na hongera kwa machale. Napata wazo jipya pia hapa kwa kusoma hili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

    Hii nimeichukua
  4. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Biashara zinanivuruga naona nachanganyikiwa. Nifanyeje kujitoa katika hali hii?

    Kwa Nini usibaki na biashara moja au mbili unazofanya vizuri ukawa na location nzuri na usimamizi mzuri. Biashara kuwa nazo nyingi tofauti tofauti wkt management yake Bado pia inakupasua kichwa utajikuta mtaji unavuja sehemu.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Hapa umenena vema... Hapo kwa kuoanmchaga asiwe kizembezembe. Kwa msukuma ndio mke uhakika upande wa Muha Sina uzoefu nk
  6. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

    Wakati nauza vinjwayji nlibahatika kupata frem pahala pengine mkoa huo huo nkawa nauza mayai jumla. Jirani yangu alikua na duka la jumla "Ngosha" kupitia namna alivyo ipelekea biashara yake kwa kweli alikua ana ni inspire sana. 1. Ana Fanya delivery kuanzia saa 12 asbh licha ya boda zingine...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

    Ukweli ni kwamba nimejifunza nkivyotaka kuvifahamu. Mimi nilifanya biashara ya jumla ila ilikua vinywaji (juice za viwabdani, energy, maji). Changamoto za hapa na pale ikiwemo za kifamilia zikaingilia Kati nikastop. Ila nataka kurudi Tena kwa location ya Dar this time. Nikizungumzia biashara...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Mbona unamuwazia mabaya mwenzako?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler)

    Nipe uzoefu kwenye hili. Si wanasema Hawa bloiler wanaenda sokoni week ya nne? Kuna jirani yangu anawapeleka week ya 3. Lakini Kwa maelezo Yako naona mpk week ya 6. Je, lipo lifuatwe? Na more days si ndio wanakula faida then??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa mahali wanapouza hii mifuko kwa bei ya jumla

    Ni kwa vile hailipi Kodi Nini inaingizwa kimtego mtego
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa mahali wanapouza hii mifuko kwa bei ya jumla

    Weeh hata hii mingine mingine pia ni kitonga kuliko kkoo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa mifuko ya kubebea bidhaa kwa bei ya jumla.

    Kariakoo Kuna mwamba mmoja nikitembelea dukani kwake akanipa abc za kutosha kuhusu hii biashara mcheck kwa namba yake 0621734231
Back
Top Bottom